DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

UKIOKOKA, JIANDAE KUPITISHWA USIPOPATAZAMIA.

Kama leo hii Mungu akikutoa katika utumwa wa dhambi (Yaani kuokoka), basi weka akilini kuwa unapopelekwa kutakuwa ni nje ya matarajio yako, na pengine pasiwe ni pa kuvutia kabisa katika…

MUNGU HATAZAMI MOTO WA KIGENI,KUWA MAKINI!

Zamani nilipokuwa mdogo nilijaribu kufanya zoezi ambalo lilikuwa ni hatarishi kwangu. Nilidhani, kila “balbu” ilihitaji kitu kinachoitwa “Umeme”tu  bila kujua ni umeme kiasi gani unahitajika ili uwake. Hivyo, siku hiyo…

AHADI YA ROHO ILIYOSALIA SASA KWA KIPINDI CHETU.

Kufahamu huduma za Roho Mtakatifu wakati huu ni kugumu kwa wakristo, kama ilivyokuwa kufahamu huduma ya Yesu Kristo kwa wayahudi wakati ule. Wayahudi walimtazamia Kristo aje kama mfalme tu, Wakishikilia…

Kujuzu ni nini kama tunavyosoma katika 2Wakorintho 12:4?

Labda tuanzie kusoma kuanzia juu kidogo, 2Wakorintho 12:2 “ Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili…

Waoga ambao hawataurithi uzima wa milele ni watu wa namna gani?(Ufunuo 21:8).

 Ufunuo 21:8 “BALI WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na…

JE! WEWE NI MFUNGWA WA BWANA?

Utumwa sio neno zuri, lakini pia ni neno zuri. Watu wa dunia hii wanao watumwa, lakini pia Yesu Kristo anao watumwa wake. Ndio maana alisema maneno haya.. Mathayo 11:28  “Njoni…

WAJAPOKUWA WAJINGA, HAWATAPOTEA KATIKA NJIA HIYO.

Shalom. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tuyatafakari maneno mazuri ya uzima. Ulishawahi kuutafakari vizuri huu mstari? Isaya 35: 8 “Na hapo patakuwa na njia kuu, na…

Zunga ni nini? (Walawi 12:3, Kutoka 4:24)

Neno hilo utalisoma kwenye vifungu hivi katika biblia; Walawi 12: 3 Siku nane mtoto atatahiriwa govi ya zunga lake. Kutoka 4:24 “Ilikuwa walipokuwa njiani mahali pa kulala, Bwana akakutana naye…

MAVUNO YAMESHAKWISHA  SHAMBANI.

Mathayo 24:14 “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja”. Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa.. Ukitaka kujua kuwa mambo…

Nini maana ya kuoatama katika biblia?

Kuoatama ni lugha ya zamani, inayomaanisha “kwenda haja kubwa” Kumbukumbu 23:13 “nawe uwe na jembe dogo katika silaha zako; napo uotamapo nje uchimbe kwa lile jembe, na kugeuka na kukifunika…