DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

SILAHA MADHUBUTI YA MALAIKA. (Itumie itakusaidia)

Ni lazima tujue namna mbalimbali za kupambana na adui yetu (Ibilisi). Tunajua yeye ni mpinzani wetu, na  mpinzani sikuzote huwa si rahisi kukubali kushindwa kirahisi, ni lazima ataleta ukinzani. Na…

Dinari ni nini na Rupia ni nini (Mathayo 20:2,Ufunuo 6:6)

Dinari ilikuwa ni sarafu ya kirumi yenye thamani ya (utumishi wa kibarua wa siku nzima)..Kwamfano leo hii tuseme kibaru atalipwa kwa siku shilingi elfu 20, na ukawa ndio utaratibu wa…

Kuba ni nini (Ayubu 22:14)?

Jibu: Tusome, Ayubu 22:12 “Je! Mungu hayuko mbinguni juu? Tena tazama umbali wa nyota, jinsi zilivyo juu! 13 Nawe wasema, Mungu anajua nini? Je! Aweza kuamua kati ya giza kuu?…

TENDA HAKI KWA FAIDA YAKO MWENYEWE.

Je unajua unapofanya mapenzi ya Mungu ni kwa faida yako na si kwa faida ya Mungu?.. Je unajua Mungu hana hasara na wala hajawahi kupata hasara kwa watu kufuata njia…

MWONGOZO WA MAOMBI YA ASUBUHI.

Watu wengi wanapofikia hatua ya kuomba, wanashindwa kuomba vizuri au  kudumu kwa muda mrefu, sio kwamba hawana nguvu za rohoni, hapana bali wakati mwingine ni kwasababu wanakosa mwongozo wa vitu…

JE! TUNAPASWA TUOMBE MARA NGAPI KWA SIKU?

Biblia haijotoa ‘fomula’, ya idadi ya nyakati tunazopaswa kuomba kwa siku. Ila imesema ‘tuombe kila wakati’ na sehemu nyingine imesema ‘tuombe bila kukoma’. Hiyo ni kutupa uelewa kwamba maombi yanapaswa…

IJUE FAIDA YA KUFUNGA PAMOJA NA WANYAMA WAKO.

(Masomo maalumu yahusuyo mifungo na maombi). Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa…

Je! Adamu na Hawa walizikiwa wapi?

JIBU: Ipo mitazamo mingi, ihusuyo eneo halisi la makaburi ya wazazi wetu wa kwanza, Kwamfano kwa mujibu wa hadithi za kiyahudi, wao wanaamini kuwa Adamu na Hawa walizikwa pale Israeli,…

Fahamu maana ya Mithali 28:20 Mtu mwaminifu atakuwa na baraka tele;

Maelezo ya Mithali 28:20 "Mtu mwaminifu atakuwa na baraka tele; Lakini afanyaye haraka kuwa tajiri hakosi ataadhibiwa". Mstari huo unatufundisha jinsi pupa (kutaka vya haraka), inavyokinzana na neno “Uaminifu”. Ikiwa…

Tofauti kati ya mwonaji na Nabii ni ipi?

Katika biblia mtu ambaye alipokea taaarifa iliyofichwa kutoka Kwa Mungu na kuiwasilisha Kwa watu aliitwa mwonaji. Alipokea aidha kupitia, maono, ndoto, au kufunuliwa dhahiri, Mfano wa Hawa alikuwa ni Samweli……