DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nyuni ni nini?(Mathayo 13:32, Sefania 2:14)

Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Hivi ni baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Mathayo 13:31 “Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na punje ya haradali, aliyoitwaa…

Kutabana ni nini? (Mika 5:12)

Kutabana ni kitendo kinachofanywa na wachawi cha kutabiri mambo yajayo kwa kutazama vitu fulani. Kwamfano wasomaji nyota, wasomaji viganja, watazamaji wa nyakati mbaya n.k. wote wanatabana Utalisoma neno hilo kwenye…

Nini maana ya “chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu”?

SWALI: Biblia ina maana gani inaposema “chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu”? Jibu: Tusome.. 1Wakorintho 8:8 “Lakini chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu; maana, tusipokula hatupunguziwi kitu, wala tukila, hatuongezewi kitu. 9 …

Fumbi ni nini?(Ayubu 6:15)

Fumbi ni ni neno linalomaanisha kijito, Utalisoma katika mstari huu; Ayubu 6:15 “Ndugu zangu wametenda udanganyifu kama kijito cha maji. Mfano wa fumbi la vijito vipitavyo. 16 Vilivyokuwa vyeusi kwa…

Chamchela ni nini kwenye biblia?(Zaburi 58:9, Amosi 1:14)

Chamchela ni neno linalomaanisha  ‘kisulisuli’, Utalisoma neno hilo kwenye vifungu hivi katika biblia; Zaburi 58:9 “Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo…

Je! Wana wenu huwatoa kwa nani? maana yake ni nini?

SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “je! Wana wenu huwatoa pepo kwa uweza wa nani?” pale Mafarisayo walipomwambia kuwa yeye anatoa pepo kwa Beelzebuli mkuu wa pepo? JIBU: Tusome kuanzia…

KUNA UMUHIMU WA KUWA MTU WA KURIDHIKA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu linasema.. 1Timotheo 6:7 “Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu; 8  ila tukiwa…

Zaburi maana yake nini, katika Biblia?

Zaburi maana yake ni “nyimbo takatifu”. Hivyo kitabu cha Zaburi katika biblia, ni kitabu cha Nyimbo takatifu. Zimeitwa nyimbo takatifu kwasababu zimetungwa kwa lengo la kumrudisha mtu kwa muumba wake,…

USIKATE TAMAA UNAPOPITIA MAGONJWA.

Unaweza kuwa umempokea Yesu, na unapitia ugonjwa ambao ni mbaya sana, na pengine usio na tiba, Na unajiuliza inawezekanikaje mimi mtu wa Mungu niwe na ugonjwa kama huu?, au mwanangu?…

Kongwa ni nini kwenye biblia?(Wagalatia 5:1)

Kongwa ni kifungo cha shingoni. Kwa jina lingine ni nira. Tazama picha. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja neno hilo; Kumb 28:48 “kwa hiyo utawatumikia adui zako atakaowaleta Bwana juu…