DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

TUSIIFUATISHE KAWAIDA YA ULIMWENGU HUU.

Bwana Yesu atukuzwe daima. Karibu tena tuyasogelee maneno matukufu ya Mungu wetu Yehova;  Maandiko yanasema hivi;  Waefeso 2:1-2 Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu;ambazo mliziendea zamani…

Mikono iliyotakata ni mikono ya namna gani? (1Timotheo 2:8).

Swali: Katika 1Timotheo 2:8 tunaona Mtume Paulo akiwataja wanaume kuwa wanaposalisha wanyanyue mikono iliyotakata, sasa hii mikono iliyotakata ndio mikono ya namna gani? Jibu: Tusome, 1Timotheo 2:8  “Basi, nataka wanaume…

MWANANGU, NIPE MOYO WAKO;

Mithali 23:26 “Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu.  27 Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.  28 Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza…

USIZISHIRIKI DHAMBI ZA WATU WENGINE.

1Timotheo 5:22 “Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi”. Hapa tunaona mtume Paulo, anampa Timotheo maagizo ya namna ya kuwa kiongozi…

JE BADO UNASUBIRIA MAJI YACHEMKE?

Lipo la kujifunza juu ya Yule mtu aliyepooza kwa miaka 38,  na jinsi alivyopokea uponyaji wake katika siku moja. Maandiko yanasema mtu huyu pamoja na wenzake walikuwa wakingojea muujiza katika…

Kaniki ni nini katika biblia? (Yeremia 8:21).

Jibu: Neno “kaniki” limeonekana mara mbili tu katika biblia..(Yeremia 8:21 na Yeremia 14:2). Na sehemu zote mbili linamaanisha “vazi jeusi lililovaliwa na watu wanaoomboleza” aidha kutokana na janga fulani au…

Je ile nyota ya asubuhi inamwakilisha shetani au Bwana Yesu?

Swali: Katika Ufunuo 22:16, tunasoma ile nyota inamwakilisha Bwana Yesu, lakini tukirudi katika Isaya 14:12, tunasoma ile nyota inamwakilisha shetani, hapa imekaaje? Jibu: Tusome.. Ufunuo 22:16 “Mimi Yesu nimemtuma malaika…

Aibusu midomo atoaye jawabu la haki (Mithali 24:26)

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 24:26 "Aibusu midomo atoaye jawabu la haki" JIBU: Kwa namna nyingine inasomeka hivi “ Atoaye jawabu la haki, ni sawa na mtu abusuye…

MWIMBIE BWANA ZABURI KATIKA NYAKATI ZA FURAHA.

Biblia Inatufundisha kuomba pale tunapokuwa katika majaribu, au tunapokuwa katika hali ya kuhitaji jambo Fulani. Mathayo 7:7 “Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa;8  kwa maana kila aombaye…

Je! Ni Kristo au Kristu? Lipi ni neno sahihi?

JIBU: Neno Kristo limetoka katika lugha ya kigiriki (Khristos) ambalo likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama KRISTO. Lakini Neno hili hili, kwa lugha ya kilatini  (Christus), likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama…