DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Elewa tafsiri ya Mithali 27:22 Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni.

SWALI: Nini tafsiri ya Mithali 27:22 Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka. JIBU: Kama tunavyojua mtwangio na kinu ni vyombo vinavyotumika kuponda-ponda nafaka ngumu…

Maana ya Mithali 26:2 Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake,

SWALI: Nini maana ya Mithali 26:2 Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu. JIBU: Mungu anafananisha laana isiyo na…

SIFA ZA MAMBA YULE MKUBWA WA AYUBU.

Katika Ayubu 41, tuona Mungu akieleza kwa urefu sifa ya mnyama mamba. Ametumia taswira ya mamba huyu tunayemwona, kumwelezea mamba wake wa  rohoni, ambaye hasaa Ayubu alionyeshwa habari zake kwa…

MIMI NA WEWE TU KAZI YA MUNGU.

Waefeso 2:10 MAANA TU KAZI YAKE, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo. Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo, karibu…

Daudi alikuwa na wake wangapi, na je ni halali kuwa na wake wengi?

Swali: Napenda kujua Daudi alikuwa na wake wangapi na je na sisi tunaruhusiwa kuwa na wake wengi? Jibu: Mfalme Daudi alikuwa na wake nane (8), waliotajwa katika biblia, ambao ni..…

VIASHIRIA VINGINE VYA ROHO MTAKATIFU KUWEPO NDANI YAKO.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu, (Mkuu wa Uzima na Mfalme wa wafalme), YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu wetu lililo taa na Mwanga wa njia zetu (Zab.…

Wakrete ni watu gani na walikuwaje  waongo? (Tito 1:12)

Swali: Biblia inasema wakrete walikuwa ni waongo na walishuhudiwa na nabii wao, je walikuwaje waongo  (walidanganya nini), na huyo nabii wao alikuwa nani? Jibu: Wakrete ni jamii ya watu waliokuwa…

Kwanini Mungu aliwazuia walemavu wasimtumikie madhabahuni kwake?(Walawi 21:16-24)

SWALI: Kwanini katika agano la kale Mungu aliwazua walemavu wasimtumikie madhabahuni kwake? Ikiwa Mungu hana upendeleo kwanini aliliagiza hili litendeke? Mambo ya Walawi 21:16-24 Kisha BWANA akanena na Musa, na…

JE! NI CHEMCHEMI IPI INATOKA NDANI YAKO, YA MITO AU YA KISIMA?

Mtu yeyote aliyeokoka, ndani ya moyo wake kunatokea chemchemi ya maji  yaliyo hai (Mithali 4:23). Na maji hayo huwa hayakauki, kwasababu yanatoka kwenye chanzo chenyewe  halisi ambacho ni Yesu Kristo,…

HAWEZI KUWA MWANAFUNZI WANGU.

Luka 14:27 “Mtu ye yote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, HAWEZI KUWA MWANAFUNZI WANGU”. Je unaelewa maana ya kuwa Mwanafunzi? Zifuatazo ni sifa za mwanafunzi.    1. KUFUNDISHWA…