DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nini maana ya ampokeaye Nabii atapata thawabu ya Nabii? (Mathayo 10:41).

Je! Ni thawabu gani inayozungumziwa hapo?. Jibu: Ili tuelewe vizuri, labda tuanzie kusoma kuanzia mstari wa 40 Mathayo 10:40 “Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma. 41…

BWANA AWEZA KUKUPA ZAIDI SANA KULIKO HIZO.

Kuna majira yakupasa uisikie sauti ya Mungu, kuliko hasara utakayoingia, ili kuiponya nafsi yako. Kuna mfalme mmoja wa Yuda anaitwa Amazia, Huyu mfalme siku moja alijikuta anaingia katika vita na…

TAFUTA MSAMAHA HALISI, NA SI MSAMAHA TU!

Jina la Bwana na Mwokozi wetu, Yesu Kristo libarikiwe.. Karibu katika kujifunza Neno la Mungu wetu, ambalo ni Taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa Njia yetu. (Zab. 119:105). Kuna…

Je Mkristo kutembea na walinzi (Bodyguards),ni sawa?

SWALI: Je Mkristo kutembea na walinzi (Bodyguards), katika huduma ni sawa? Kama sio mbona Bwana Yesu alitembea na mitume wake? JIBU: Tufahamu kuwa mitume hawakuwa walinzi wa Bwana Yesu, Bali…

Talanta ni nini katika biblia (Mathayo 25:14-30)

Talanta ni nini katika biblia. Katika agano la kale Talanta kilikuwa ni kipimo cha uzito cha juu zaidi ya vyote (kilitumiwa hususani katika  kupima madini ya  dhahabu na fedha)..Talanta moja…

KWA KUWA WASEMA MIMI NI TAJIRI.

Hebu tusome Habari ifuatayo kwa utaratibu halafu tutafakari Pamoja… Ufunuo 3:15 “Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. 16 Basi,…

Babewatoto ni nani katika biblia?(Isaya 34:14).

Babewatoto ni jina lingine la mapepo yanayotembea usiku (yenye mfano wa ndege wa angani). Hawa wametajwa mara moja tu katika biblia.. Isaya 34:14 “Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu,…

Nini maana ya ugonjwa wa kufisha? (Yeremia 17:9)

SWALI: Nini maana ya ugonjwa wa kufisha? Yeremia 17:9 Yeremia 17:9 “Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua”? Kufisha; maana yake ni kusababisha kitu…

KIASI NI NINI KATIKA UKRISTO?

Kiasi kama tafsiri yake  ilivyo ni  kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda tisa (9), ya…

Kwanini Mungu aseme “Alaaniwe azuiaye upanga wake usimwage damu” (Yeremia 48:10).

Yeremia 48:10 “Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya Bwana kwa ulegevu; NA ALAANIWE AUZUIAYE UPANGA WAKE USIMWAGE DAMU”. Je kufuatia mstari huo, Mungu anahimiza mauaji? Jibu: Awali ya yote ni…