DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Jeshi la Mbinguni wana wa Israeli waliloliabudu ni lipi?

SWALI: Ni jeshi gani la Mbinguni ambalo Mungu aliwaacha wana wa Israeli waliabudu katika Matendo 7:42? Je ni Malaika au? JIBU: Matendo 7: 41  “Wakafanya ndama siku zile, wakaleta dhabihu…

Neema ya Bwana Yesu Kristo

 2Wakorintho 13:14 “Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote”. Hii ni salamu ya kumalizia ambayo mtume Paulo aliwaandikia wakorintho, na…

Kibanzi na Boriti ni nini kama tunavyosoma kwenye biblia?

Kibanzi Na Boriti, kwenye biblia vinamaanisha nini? Boriti ni kipande kikubwa sana cha mbao, kinaweza kikawa ni ki-gogo, au nguzo, au mbao yoyote pana.. Lakini kibanzi, ni kichembe kidogo sana…

MISTARI YA BIBLIA YA FARAJA.

Jiunge na channel yetu ya Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. kwa link hii >>> https://chat.whatsapp.com/GWxBOH2GXncIc0pwVIhnch Mistari ya biblia ya faraja. Unaweza ukawa unapitia katika wakati…

Arabuni maana yake ni nini?

Tukiachilia mbali, Eneo linaloitwa Arabuni ambalo limetajwa sana katika biblia,  . Kama tunavyosoma katika vifungu vifuatavyo.. 2Nyakati 9:14 “mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa…

Nini maana ya “Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake?”

SWALI: Biblia inamaanisha nini inaposema “Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.” JIBU: Huu ni msemo ambao umeonekana ukipachikwa katikati ya vifungu kadha wa kadha kwenye biblia.. Kwa mfano utaona..…

Je! Imani ya mitume ipo katika maandiko?

Imani ya mitume (Apostle’s creed), inapatikana wapi kwenye biblia? Imani ya mitume ambayo unaisikia mara kwa mara ikikiriwa katika baadhi ya madhehebu hususani Katoliki, Lutherani, na Anglikana, haipo mahali popote…

Je! Adamu alikuwa na mwanamke mwingine anayeitwa Lilith?

Je! Adamu alikuwa na mwanamke mwingine anayeitwa Lilith? JIBU: Biblia imetupa majibu kama ifuatavyo.. Mwanzo 1:27 “Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa MUNGU ALIMWUMBA, MWANAMUME NA MWANAMKE…

SALA YA BABA YETU/SALA YA BWANA.

Sala ya Baba yetu/ Sala ya Bwana. Sala hii inapatikana katika sehemu kuu mbili kwenye biblia.. Ya kwanza ni Mathayo 6:9-13 Inasema. “9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye…

HUDUMA YA WALE MASHAHIDI WAWILI.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, libarikiwe. Nakukaribisha katika kuyatafakari maandiko. Tunajua kuja kwa Yesu mara ya kwanza, kulibeba siri nyingi za kuja kwake mara ya pili, kwa mfano wakati…