DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kuwiwa maana yake nini katika biblia?

Neno kuwiwa maana yake ni "kudaiwa".  Mtu anaposema ninawiwa kiasi fulani cha fedha maana yake ni “anadaiwa kiasi fulani cha fedha”, Au mtu anaposema ninamuwia mtu fedha, maana yake ni…

Hirimu ni nini kibiblia?(Wagalatia 1:14)

Hirimu ni nini? Hirimu ni mtu aliye katika kundi la umri wako (rika). Kwamfano tukisema, Petro na Yohana ni hirimu moja, tunamaanisha Petro na Yohana ni watu wa umri mmoja.…

kwanini yule kijana aliitupa ile nguo ya kitani chini na kukimbia uchi?

SWALI: Naomba ufafanuzi kidogo hapa sijaelewa vizuri, kwanini wakati Bwana Yesu anakuja kukamatwa naona kijana waliyemkamata alikuwa na nguo ya kitani ila baadae tunaona anaitupa nguo na kukimbia uchi ,…

Choyo ni nini kibiblia? (Luka 12:15, Zaburi 10:3)

Choyo ni nini kibiblia? Choyo ni tamaa ya hali ya juu, aidha wa mali, uongozi, au chakula, ambayo inaambatana na uchoyo. Kwa namna nyingine ni Tabia ya ubinafsi, tabia ya…

Nini maana ya Dirii, Chapeo na Utayari?

Chapeo: Chapeo ni kofia ngumu ya chuma waliyokuwa wanavaa watu waliokuwa wanakwenda vitani. Tazama picha chini. Kwa lugha ya kiingereza ni “Helmet” . Kwa nyakati hizi, shughuli nyingi na michezo…

USITAFUTE KUKANWA NA BWANA SIKU ILE.

Kukanwa hakuna tofauti sana na kusalitiwa..Ni maneno pacha!.. Alichokifanya Yuda hakina tofauti sana na alichokifanya Petro. Tofauti ni kwamba mmoja “kamkataa Yesu” mwingine “kamuuza”..lakini wote wamemkana, na wote wamemsaliti. Utauliza…

Baadhi ya watu  na misemo ambayo haipo katika biblia.

Ifuatayo ni baadhi ya misemo, ambayo ipo katika jamii yetu, ambayo inadhaniwa kuwa ipo kwenye biblia lakini kiuhalisia haipo kabisa, aidha imetungwa na watu tu au inapatikana kwenye vitabu vingine…

Santuri ni nini? (Danieli 3:5,10)

Santuri ni nini? Santuri ni chombo cha muziki, ambacho kiliundwa kwa nyuzi nyingi, na kilipigwa kwa vijiti viwili ambavyo viligongwa gongwa juu ya nyuzi hizo ili kutoa midundo tofauti tofauti.…

JE YESU AMEJIAMINISHA KWAKO?

Shalom. Ni wakati mwingine tena Bwana ametupa neema ya kuyatafakari maneno yake, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari pamoja. Lipo jambo tunapaswa tujue kuwa tukisema tu tumemwamini Yesu, kisa tu tumeona anaponya…

Panda/ Sauti ya panda ni nini kibiblia?(Danieli 3:5)

SWALI: Biblia inaposema “hapo mtakapoisikia sauti ya Panda” Inamaanisha nini. Panda ni nini? Panda ni pembe ya kondoo mume, ambayo ilitumika zamani kama tarumbeta. Ilipopigwa iliashiria aidha kutangaza jambo jipya…