Mlima sinai upo nchi gani? Na Je unaijua Sinai yako rohoni? Mlima Sinai, au kwa jina lingine unajulikana kama Mlima Horebu, upo katika Rasi ya Sinai, Nchi ya Misri..Tazama katika…
SWALI: Neno “Korbani” linalozungumziwa katika Marko 7:11 lina maana gani? JIBU: Ili tupate picha nzuri ya Neno hilo embu tusome sehemu zote mbili zinazozungumzia jambo hilo hilo moja. Mathayo 15…
Historia ya wimbo wa tenzi - Ndio dhamana Yesu wangu. (Blessed assuarance) Wimbo huu ulindikwa na mwanamke mmoja aliyeitwa Fanny Crosby, Mwanamke huyu japo aliishi kwa miaka 95 akiwa kipofu,lakini…
Yote namtolea Yesu_tenzi za rohoni|Swahili hymn. Wimbo huu uliandikwa na ndugu mmoja wa kimarekani aliyeitwa Judson W. Van DeVenter, Ndugu huyu alilelewa katika mazingira ya kikristo, aliokoka akiwa na miaka…
Neno Kristo, na Masihi ni kitu kimoja, isipokuwa kwa lugha ya Kiebrania linatamkwa kama Masihi, lakini kwa lugha ya kigiriki linatamkwa kama Kristo. Yohana 1:41 “Huyo akamwona kwanza Simoni, ndugu…
Kuwa mwaminifu kwa maneno yako mwenyewe, ni muhimu sana!. Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Mwinjilisti mmoja alichukuliwa katika maono mbinguni akakutana na Bwana Yesu, alionyeshwa mambo…
Blessed be the name of our Lord Jesus Christ, Today we will learn very briefly about paying tithes, Scripturally tithes are the 10th part, of one's income to God. So…
Kwanini Amelaaniwa aangikwaye msalabani? Kutundikwa msalaba au kwa jina lingine kutundikwa mtini, ilikuwa ni adhabu iliyotekelezwa kwa watu wenye makosa ya hali ya juu sana. Adhabu hii ilikuwa sio tu…
Je! Watoto wa Ibrahimu/Wana wa Ibrahimu walikuwa ni wangapi? Jumla ya wana wa Ibrahimu walikuwa ni nane (8). Kulingana na Biblia. Mwana wa kwanza alikuwa ni Ishmaeli, ambaye alizaliwa na…
Watoto wa Yese katika biblia walikuwa ni wangapi? Kitabu cha Samweli kinaonyesha Yese alikuwa na wana nane(8), Daudi akiwa ndio mwana wa mwisho kabisa, Lakini kitabu cha Mambo ya Nyakati…