SWALI: Marinda yanayozungumziwa kwenye Yeremia 13:26 ni kitu gani? Jibu: Tuanze kusoma kuanzia juu kidogo.. Yeremia 13: 24 “Kwa sababu hiyo nitawatawanya, kama makapi yapitayo, kwa upepo wa jangwani. 25…
SWALI: Biblia inajichanganya yenyewe katika Marko 5:1-6 na Mathayo 8:28-31?..Kwa maana tunaona ni habari moja lakini kila moja imezungumzwa tofauti na nyingine. JIBU: Tusome Marko 5:1 “Wakafika ng'ambo ya bahari…
Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Hivi ni baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Mathayo 13:31 “Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na punje ya haradali, aliyoitwaa…
Kutabana ni kitendo kinachofanywa na wachawi cha kutabiri mambo yajayo kwa kutazama vitu fulani. Kwamfano wasomaji nyota, wasomaji viganja, watazamaji wa nyakati mbaya n.k. wote wanatabana Utalisoma neno hilo kwenye…
SWALI: Biblia ina maana gani inaposema “chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu”? Jibu: Tusome.. 1Wakorintho 8:8 “Lakini chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu; maana, tusipokula hatupunguziwi kitu, wala tukila, hatuongezewi kitu. 9 …
Fumbi ni ni neno linalomaanisha kijito, Utalisoma katika mstari huu; Ayubu 6:15 “Ndugu zangu wametenda udanganyifu kama kijito cha maji. Mfano wa fumbi la vijito vipitavyo. 16 Vilivyokuwa vyeusi kwa…
Chamchela ni neno linalomaanisha ‘kisulisuli’, Utalisoma neno hilo kwenye vifungu hivi katika biblia; Zaburi 58:9 “Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo…
SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “je! Wana wenu huwatoa pepo kwa uweza wa nani?” pale Mafarisayo walipomwambia kuwa yeye anatoa pepo kwa Beelzebuli mkuu wa pepo? JIBU: Tusome kuanzia…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu linasema.. 1Timotheo 6:7 “Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu; 8 ila tukiwa…
Zaburi maana yake ni “nyimbo takatifu”. Hivyo kitabu cha Zaburi katika biblia, ni kitabu cha Nyimbo takatifu. Zimeitwa nyimbo takatifu kwasababu zimetungwa kwa lengo la kumrudisha mtu kwa muumba wake,…