DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Je! Ni kweli ubatizo wa maji hatuuhitaji tena?

SWALI: Naomba kufahamu Je! Ni kweli ubatizo wa maji hatuuhitaji tena, tunaopaswa tuwe nao ni ule wa Roho Mtakatifu tu peke yake kama vile Yohana Mbatizaji alivyosema katika Mathayo 3:11…

NINI KINAFUATA SIKU ILE ILE YA KUOKOKA!

Ni nini kinafuata siku ile ya kuokoka!? Ni swali linaloulizwa na wengi... Shalom.Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu tujifunze Biblia, Neno la Mungu ambalo ni mwanga wa njia zetu…

USIMPE NGUVU SHETANI.

Biblia inatuonyesha yapo majaribio matatu ambayo shetani atajaribu kuyafanya ili kuupandikiza ufalme wake. Jaribio la kwanza ni lile alilolifanya mbinguni, lakini akashindwa, pale alipopigwa na akina Mikaeli pamoja na malaika…

NINI MAANA YA SISI KUWA WATOTO WA MUNGU?

SWALI: Je Mungu anazaa?..Kama hazai kwanini sisi tunaitwa Watoto wa Mungu?..Je! Mungu ana mke?..na kama hana huoni kama ni kukufuru kusema kuwa sisi ni Watoto wa Mungu? JIBU: Swali hili…

MAONO YA NABII AMOSI.

Shalom mwana wa Mungu, karibu tujifunze tena maneno ya uzima. Amosi 3:7 “Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake”. Maneno haya aliyaandika nabii…

Kwanini wanawake wengi huwa wanalipuka mapepo?

SWALI: Naomba kufahamu ni kwa nini katika mikutano mingi ya injili na sehemu za makusanyiko kama mashuleni na sehemu zingine Wanawake ndio hupatwa sana na kusumbuliwa na mapepo? JIBU: Sababu…

WANA WA MUNGU, NA BINTI ZA WANADAMU.

Wana wa mungu, na binti za wanadamu,ni wakina nani leo hii? Biblia inaposema kama ilivyokuwa katika siku za Nuhu, Ndivyo itakavyokuwa katika siku za kuja kwake mwana wa Adamu (Luka…

DHIKI KUU INAKUJA NA UNYAKUO UPO KARIBU.

Shalom, karibu tujifunze Biblia Neno la Mungu… Roho Mtakatifu atusaidie leo tena katika kuyatafakari maneno yake.Kama tunavyojua kuwa matukio mengi ambayo yaliwahi kutokea nyakati za kale na kurekodiwa katika biblia…mengi…

Kwanini yule mtu hakukutwa na vazi la arusi wakati alialikwa?

SWALI: Kwanini yule mtu hakukutwa na vazi la arusi wakati naye pia alialikwa?. Inamaana wale wengine walipewa mavazi siku ile ya kuingia karamuni? Tusome: Mathayo 22:1  “Yesu akajibu, akawaambia tena…

KWANINI MUNGU ALIMTUMIA MUSA KWA VIWANGO VILE?

Shalom, Karibu tujifunze Neno la Mungu. Lipo swali ambalo tunaweza tukajiuliza siku ya leo, ni kwanini miujiza yote ile mikubwa namna ile Mungu alimtumia musa kuifanya na si mtu mwingine?…Licha…