DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kuhimidi ni nini?(Zaburi 31:21)

Kuhimidi kibiblia ni kumpa Mungu sifa iliyochanganyikana na heshima na unyenyekevu wa hali ya juu sana, Neno hili limeonekana  mara nyingi sana katika biblia, Kwamfano hivi ni baadhi ya vifungu,…

Mwana haramu ni nani kibiblia? (Kumbukumbu 23:2).

Mwana-haramu, au mwana wa haramu ni mtu aliyezaliwa nje ya Ndo Takatifu. Zamani katika jamii ya Israeli, Mungu aliwakataza wana wa Israeli, wasioane na watu wa mataifa. (Kumbukumbu 7:2-3). Wala…

Uchaga ni nini? (Luka 12:24)

Jibu: Tusome, Luka 12:24 “Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana GHALA wala UCHAGA, na Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!” “Ghala” ni chumba/nyumba ndogo ya kuhifadhia…

NIFANYE NINI ILI MUNGU AYAJIBU MAOMBI YANGU?

Ukienda kuomba kazi yoyote halali, kikawaida huwezi kupewa majibu ya papo kwa papo na kuambiwa anza kazi leo, bila ya kutaka kwanza taarifa Fulani kutoka kwako, hata kama ni ile…

Kujazi ni nini? (Mathayo 6:4)

Kujazi maana yake ni kulipa. Kwamfano tusome Neno hilo jinsi lilivyotumika na kumaanisha katika maandiko; Mathayo 6:2 “Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi…

JINSI YA KUPOKEA UPONYAJI, TUNAPOMWOMBA BWANA ATUGUSE MARA YA PILI.

Jina kuu la Bwana na Mwokozi wa Ulimwengu, Simba wa kabila la Yuda, na Mkuu wa wafalme wa dunia, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, neno la Mungu wetu, lililo…

USIISHIE TU KUPATA HAKI, BALI PATA NA WOKOVU.

Jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu, Yesu Kristo libarikiwe!. Karibu tuyatafakari maandiko, Neno la Bwana wetu, lililo chakula cha roho zetu linasema hivi.. Warumi 10:10 “Kwa maana KWA MOYO…

JIFUNZE KUDUMU UWEPONI MWA MUNGU.

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tena tuyatafakari maneno matukufu ya mola wetu. Leo napenda tuutafakari huu mstari kwa ukaribu sana, kwasababu una maana kubwa nyuma yake…

Nini tofauti ya Mtumwa, Mjakazi na kijakazi?

      1. MTUMWA Mtumwa ni mfanyakazi wa jinsia ya kiume. Kawaida ya mtumwa, anakuwa anatawaliwa uhuru wake na maamuzi yake kwa asilimia kubwa na yule anayemtumikisha au aliyemwajiri. Hivyo mwanaume…

Milima ya Ararati ipo wapi kwasasa? (Mwanzo 8:4)

Milima ya Ararati, mahali ambapo Safina ya Nuhu ilitua, ipo wapi kwasasa? JIbu: Tusome, Mwanzo 8:4 “Mwezi wa saba, siku ya kumi na saba ya mwezi, safina ikatua juu ya…