DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MWONGOZO WA MAOMBI YA FAMILIA

  maombi kwa ajili ya familia_1-1Download Huu ni mwongozo wa maombi maalumu kwa ajili ya familia yako. Kama watakatifu, ni wajibu wetu kuziombea familia, Lakini sio kuziombea tu, bali kufahamu…

VITOE VIUNGO VYAKO VITUMIKE KWA HAKI UPATE KUTAKASWA.

Je unajua UTAKASO hauji tu kufumba na kufumbua????... Nguvu ya utakaso (yaani Roho Mtakatifu) unaweza kuipokea kufumba na kufumbua, lakini mpaka ule mzizi wa dhambi uondoke ndani yako inachukua muda…

VUA SAMAKI, NA SAMAKI WASIKUVUE WEWE.

(Masomo maalumu kwaajili ya watumishi). Kama Mhubiri au Mtumishi wa Mungu, usiupende ulimwengu wala usiikimbia sauti ya Mungu. Bwana YESU alimwambia Petro maneno haya… Luka 5:10 “na kadhalika Yakobo na…

Je gharika ya Nuhu iliangamiza hadi samaki wa baharini na nyangumi?.

Jibu:  Jibu la swali hili tutalipata katika ule mstari wa 22, sura ya 7 ya kitabu cha Mwanzo… Mwanzo 7:22 “kila kitu chenye pumzi ya roho ya uhai puani mwake…

Bwana alimaanisha nini kusema “Yeye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo”? (Mathayo 23:20)

Jibu: Ili tuweze kuelewa vizuri, turejee mistari hiyo (kuanzia ule mstari wa 16 -22). Mathayo 23:16  “Ole wenu viongozi vipofu, ninyi msemao, Mtu atakayeapa kwa hekalu, si kitu; bali mtu…

Machela ni nini (Wimbo ulio bora 3:7)

Jibu: Turejee… Wimbo 3:7 “Tazama, ni MACHELA yake Sulemani; Mashujaa sitini waizunguka, Wa mashujaa wa Israeli” “Machela” yanayozungumziwa hapo si vile vitanda vinavyotumika zama hizi kwaajili ya kubebea wagonjwa walio…

Maana ya  Yakobo 1:17 Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu,

SWALI: Naomba kufahamu tafsiri ya Yakobo 1:13-17, hususani pale anaposema "Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili,…

Yuaabisha kichwa chake! Je ni aibu ya namna gani? (1Wakorintho 11:5)

Jibu: Turejee.. 1Wakorintho 11:3 “Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu. 4  Kila mwanamume,…

Yakobo 1:5 inasema tuombapo hekima, Mungu hakemei, maana yake ni nini.

Yakobo 1:5 Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.

Watu wa nyumbani mwa Kaisari ni watu gani? (Wafilipi 4:22).

Swali: Watu wa nyumbani mwa Kaisari wanaotajwa na Mtume Paulo katika Wafilipi 4:22 walikuwa ni watu wa aina gani? Jibu: Turejee… Wafilipi 4:21 “Mnisalimie kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu…