DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Uele ni nini katika biblia? (Zaburi 91:6)

Jibu: Tusome kuanzia mstari wa 5.. Zaburi 91:5 “Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana, 6 Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri”. “Uele” ni janga linaloleta mauti…

Maganjo kibiblia? (Walawi 26:31)

Jibu: Tusome, "Ganjo" ni mahali palipoharibika.. Jengo lililoharibika linaitwa “Ganjo” yakiwa mengi yanaitwa “maganjo”, mji ulioharibiwa aidha kwa vita au kwa janga fulani pia unaitwa “Ganjo”. Katika biblia neno hili…

Maana ya Mithali 19:15 ‘Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito;

Fahamu Maana ya Mithali 19:15 “Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa”. Mara nyingi Sulemani kwa hekima ya Roho aliongozwa kuona uhusiano uliopo kati ya…

Maana ya Mithali 19:11 Busara ya mtu huiahirisha hasira yake.

Fahamu Maana ya; Mithali 19:11 Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa. Mstari huo unatufundisha mtu aliyejaa  “Busara” moyoni ni mtu wa namna gani.. Anaeleza…

Nini maana ya Mithali 24:11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe?

SWALI: Nini maana ya Mithali 24:11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe; Nao walio tayari kuchinjwa uwaopoe. JIBU:  Mstari huu una maana mbili, Mana ya kwanza ni uhai kama ‘uhai’ alionao mwanadamu…

UKIMBIE UASHERATI (USIJIUNGAMANISHE NA miungu)

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia yetu. Kuna mambo makuu mawili ambayo…

MWAGA DAMU YAKO KWA AJILI YA BWANA.

Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tena tujifunze maneno ya uzima. Kulikuwa na aina nne za wito ambao Bwana aliwaitwa mitume wake. Wito wa kawaida: Ambapo…

UMEJIANDAAJE KWA NYAKATI ZA KUWA PEKE YAKO?

Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya neema ya Bwana wetu Yesu Kristo. Sisi kama wakristo hatuna budi kutambua kuwa yapo majira mbalimbali tutapishana…

NI WAPI PA KUONGOZWA NA ROHO, NA WAPI NI WAJIBU WANGU?

Fahamu mambo ambayo ni wajibu wako kufanya, na yale ambayo unapaswa umsubiri kwanza Roho Mtakatifu akuongoze. Kama mkristo ni vizuri kuweza kutofautisha mambo ambayo ni wajibu wako kuyafanya, na mambo…

Kuna tofauti gani kati ya uso wa Bwana na macho ya Bwana?

Zaburi 34:15 Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.  16 Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani. JIBU: Andiko hili…