Jibu: Turejee, Wimbo 2:9 “Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani”. “Kimiami” ni dirisha kubwa lililo katika “ghorofa”.. Madirisha makubwa…
(Hotuba za Yesu) Kitabu cha Mathayo ni moja ya vitabu vinne (4), vya injili. Yapo mambo mengi ya kujifunza ndani yake, lakini katika makala hii, tutaona mambo muhimu ya kufahamu…
Swali: Je ni kwamba Mungu anafurahia Mauti ya watu wake mpaka aseme hivyo? Jibu: Turejee mstari huo… Zaburi 116:15 “Ina thamani machoni pa Bwana Mauti ya wacha Mungu wake” Sasa…
Waefeso 4:31 “Uchungu wote na ghadhabu na hasira NA KELELE na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya”. Kelele zinazozungumziwa hapo ni kelele za “Maneno” , kelele za…
Amosi 5:23 “Niondoleeni KELELE ZA NYIMBO ZENU; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu”. Je ni kwamba Mungu wetu hapendezwi na nyimbo tunazomwimbia?? Jibu ni la! Yeye anapendezwa na…
Kuna wakati wa kukokotwa-kokotwa, lakini kuna majira ya kuachwa ufanye maamuzi mwenyewe, na usipofanya unakufa. Mtu aliye mchanga kiroho, ni rahisi Mungu kuchukuliana naye katika mambo yasiyofaa kutokana na uchanga…
Jibu: Turejee, Wagalatia 5:19 “Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, UCHAFU, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi,…
Swali: Huyu Tirano tunayemsoma katika Matendo 19:9 alikuwa ni nani, na darasa lake lilikuwaje? Jibu: Tuanzie kusoma mstari ule wa 8 hadi ule wa 11 ili tuweze kuelewe vizuri.. Matendo…
Swali: Utajuaje ufahamu wako umetekwa au ni viashiria gani vitakavyotambulisha kuwa ufahamu umetekwa na adui? Jina la Bwana YESU libarikiwe. Kabla ya kujipima kama ufahamu umechukuliwa au la!..Ni vizuri kwanza…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, Karibu katika kuyatafakari maneno ya uzima. Sulemani, mtoto wa Daudi, katika kitabu chake cha mhubiri, kilichojawa na utafiti wa hali ya juu…