Neno la Mungu la leo ni lipi? Kwanza nakupongeza kwa kupenda kutafuta kujua Neno la Mungu la leo.. Bwana Yesu alisema kila atafutaye huona (Mathayo 7:8), Hivyo kwa kuwa na…
Neno la Mungu ni nini? Neno la Mungu ni ujumbe kutoka kwa Mungu, au mkusanyiko wa jumbe kutoka kwake. Ukisoma katika maandiko utaona mara nyingi manabii walikuwa wanasema maneno haya…
Siku ile Bwana Yesu alipokufa biblia inatuambia makaburi yalipasuka na miili ya watakatifu wengi iliinuka, lakini katika ufufuo huo hawakuondoka pale makaburini mpaka siku Yesu alipofufuka, Ndipo wakaanza safari ya…
Yesu akalia kwa sauti kuu.. Wengi tunajiuliza ni maneno gani aliyatoa Bwana Yesu pale msalabani alipolia kwa sauti ya juu namna hiyo? Embu tusome vifungu vyenyewe; Marko 15:34 “Na saa…
Kuzimu kuna nini? Kuzimu sio mahali pa kupatamani hata kidogo, wala sio mahali ambapo utatamani hata adui yako aingie.. Na ndio maana Bwana Yesu alisema maneno haya.. Marko 9:43 “Na…
Kuota upo mtu na maarufu/kuota unaongea na mtu maarufu kuna maana gani? Ndoto zipo katika makundi makuu matatu, zipo ndoto zinazotokana na Mungu, pia zipo ndoto zinazotokana na shetani, halikadhalika…
Kuota unakojoa kitandani kuna maanisha nini? Ndio ni kweli zipo ndoto zinazotokana na Mungu, na ni vizuri kuzifahamu hizo, na pia zipo ndoto zinazotokana na shetani pia hizo ni vizuri…
Kuota umefunga ndoa kuna maanisha nini? Ndoto ya namna hii mara nyingi inaangukia katika kundi la ndoto zinazozotokana na shughuli nyingi.. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya…
Maombi ni nini? Neno maombi limetokana na neno kuomba, Kwamfano mtu unapokuwa na hitaji ya kitu Fulani, labda tuseme kazi, basi huwa unatuma maombi yako kwanza kwenye ofisi husika au…
Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache. Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujikumbushe baadhi ya mambo muhimu katika safari ya Imani. Tukiwa kama wakristo ni wajibu wetu kuifanya…