DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nini maana ya ‘kuhuluku’ kama tunavyosoma katika biblia?

Kuhuluku ni Neno lingine linalomaanisha KUUMBA. Kwamfano tukisema Mungu kahuluku jua na mwezi, tunamaanisha kuwa Mungu ameumba jua na mwezi. Vifuatavyo ni baadhi ya vifungu ambavyo vinalielezea Neno hilo; Isaya…

Kiango na Pishi ni nini (Mathayo 5:15)?

Kiango ni kifaa maalumu cha kushikilia au kuning’inzia taa, tazama picha, kwa jina lingine kinaitwa kinara. Na nilazima kinyanyuke au kiwe sehemu ya juu kidogo, ili kuruhusu mwanga wa hicho…

NAYE AKASIMAMA JUU YA MCHANGA WA BAHARI.

Shalom, jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe milele. Karibu tujifunze Neno lake. Ukisoma kitabu cha Ufunuo sura ya 12, utaona habari kuu inayouzungumziwa pale ni kuhusu mapambano ambayo…

JINSI  DHAMBI ILIVYO NA SHINIKIZO KUBWA SANA.

Wakati mwingine kuna mambo unasoma kwenye biblia unaishia kuogopa sana, hususani pale unapoona mtu Mungu anafanya mambo ambayo hata mwenye dhambi si rahisi ayafanye. Kwamfano embu tuwaangalie hawa watu wawili,…

ROHO ANENA WAZIWAZI

Shalom..Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Neno la Mungu linasema katika... 1 Timotheo 4:1 “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho…

UTENDAJI KAZI MWINGINE WA ROHO MTAKATIFU USIOUFAHAMU.

Ulishawahi kujiuliza ni kwanini Roho Mtakatifu alicheleweshwa kushuka juu ya mitume ikawachukua muda mrefu  kidogo, Na hata baada ya Yesu kufufuka tunaona iliwapasa tena kungojea kwa muda wa siku 50?…

MKESHA WA KUINGIA MWAKA MPYA KILA MWAKA NI WA KUUTHAMINI SANA.

Leo  tutaona kibiblia ni kwanini uuthamini mkesha wako wa kuingia mwaka mpya. Wengi wetu tunapuuzia, tunaona ni jambo la kawaida tu, na hivyo tunautumia msimu huu pengine kulala, au kwenda…

IFAHAMU HUZUNI NA FURAHA YA MALAIKA.

Shalom, karibu tena tuyatafakari maneno ya Bwana wetu Yesu, biblia inasema manabii wengi na wenye hekima walitamani sana kusikia tunayoyasikia na kuyaona tunayoyaona lakini hawakupata neema hiyo, Lakini mimi na…

KWANINI UNAPASWA UWE BIBI ARUSI NYAKATI HIZI ZA MAJERUHI?

Shalom, biblia inasema.. Yohana 3:29 “Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi;..” Huu ni wakati wa kupigania kwa bidii kuwa bibi arusi wa Kristo kwelikweli, kwasababu kama ukifa leo hii…

Chuo cha vita vya Bwana ni kipi?(Hesabu 21:14)

SWALI: Naomba kufahamu hichi “Chuo cha vita vya Bwana” kinachozungumziwa katika Hesabu 21:14  ni kipi?. Hiki ni moja ya vitabu ambavyo vinatajwa katika biblia lakini leo hii havipo, vinginevyo ikiwemo…