Mithali 29:21 “Amtunduiaye mtumwa wake tangu utoto, Mwisho wake atakuwa ni mwanawe”. Kutundua ni kujali mtu kupita kiasi, au kuonyesha wema uliopitiliza. Hivyo hapo anaposema amtunduiaye mtumwa wake tangu utotoni,…
Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu lililo hai (Zab.119:105) Je unaijua nguvu ya kinywa chako? Biblia inasema kuwa MAUTI na UZIMA huwa katika uwezo wa ULIMI. Na mtu awezaye…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Ni muhimu kujua…
Alani ni kifuko cha kuhifadhia upanga ambacho huvaliwa kiunoni na askari hususani wakati wa vita. Tazama picha juu. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; 1Samweli 17: 51 “Ndipo Daudi akapiga…
Jibu: Tuanze kusoma kuanzia mstari wa 7.. Kutoka 21:7 “Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo. 8 Kwamba bwana wake hakupendezewa naye, akiwa amemposa,…
JIBU: Picha nyingi zinazochorwa kumweleza Yesu, takribani nyingi ya hizo zinamwonyesha ni mtu mwenye nywele ndefu. Lakini Je uhalisia wake ni upi, ni kweli alikuwa na nywele ndefu au fupi?…
Kati ya nyaraka kumi na tatu (13) alizoziandika mtume Paulo, Nne (4) kati ya hizo, aliziandika akiwa gerezani. Alipokuwa Rumi, ambapo maandiko yanatuonyesha alipelekwa na kuwekwa chini ya kifungo maalumu…
Swali: Kwanini Petro na Paulo walishindana na pia tunajifunza nini katika kushindana kwao?. Jibu: Tusome, Wagalatia 2:11 “Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu”…
SWALI: Wakati shetani anamjaribu Yesu, biblia inasema alimchukua na kumpandisha kwenye kinara cha hekalu, swali ni je! Alikuwa anachukuliwaje mahali pale ni njia gani ilikuwa inatumika? JIBU: Awali ya yote…
SWALI: Je! mstari huu unaelewekaje? Mithali 9:17 “Maji yaliyoibiwa ni matamu, Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza” JIBU: Mstari huo unamfunua mtu mwenye asili ya dhambi, jinsi vitu vilivyo kinyume…