DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

TENZI ZA ROHONI

Maana ya Neno "Tenzi" ni Tungo zilizokaa katika mfumo wa "Mashairi"..Kwahiyo Mashairi yote ni Tenzi...Na Tenzi zipo za aina mbili. Kuna Tenzi za Mwilini na TENZI ZA ROHONI. TENZI ZA…

TUNA WAJIBU WA KUOMBEA MAHALI TULIPO.

Tuna wajibu wa kuombea mahali tulipo. hata kama ni pabaya kiasi gani. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia, leo tutajifunza kwa ufupi umuhimu wa kuombea nchi…

USISIKILIZE DHIHAKA ZA SHETANI, ZITAKUKWAMISHA.

Usisikilize dhihaka za shetani, zitakukwamisha. Nehemia 4:1 “Lakini ikawa, Sanbalati aliposikia ya kwamba tulikuwa tukiujenga ukuta, akaghadhibika, akaingiwa na uchungu sana, akawadhihaki Wayahudi. 2 Akanena mbele ya nduguze na mbele…

WACHAWI

Je! Wachawi wapo?..Wachawi wanaua watu?, wachawi ni wengi?, Nitajikingaje na wachawi?.Je wachawi wanapaa kwa ungo? Kuna maswali mengi sana yahusuyo wachawi..Lakini kabla ya kuyajibu maswali hayo hapo juu..Ni vema tukajua…

NI KIPI MUNGU ANACHOKITAZAMA ZAIDI, MOYO AU MWILI?

Je! ni kipi Mungu anachokitazama zaidi, moyo au mwili? Shalom. Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia. Neno la Mungu linasema katika..Waefeso 5:9-10 “kwa kuwa tunda la nuru ni…

JE! MTUMISHI KUTOKUWA NA FEDHA NI ISHARA KUWA KUNA TATIZO KATIKA IMANI YAKE?

Jina kuu la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa neema ya kuiona, Hivyo ninakukaribisha tujifunze tena maneno ya uzima maadamu siku ile inakaribia. Watumishi wengi…

UWE MWAMINIFU HATA KUFA.

Uwe mwaminifu hata kufa... Ufunuo 2:2 “Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio,…

KARAMA YA MUNGU NI UZIMA WA MILELE.

 Kwanini karama ya Mungu ni uzima wa milele? Ukikaa chini ukajaribu kutafakari kwa umakini hili Neno UZIMA WA MILELE, utashangaa sana, wakati mwingine utajiuliza hili jambo linawezekanaje kanaje, na ukilitafari…

LITANIA YA BIKIRA MARIA JE! NI SALA YA KIMAANDIKO?

Litania ya bikira Maria mtakatifu ni nini?, Je Maria ni Malkia wa Malaika, Malkia wa mitume na malkia wa wakristo?. Maana ya "LITANIA" ni Mfululizo wa sala ambayo maneno yake…

JINSI YA KUJIWEKA KARIBU NA MUNGU.

JINSI YA KUJIWEKA KARIBU NA MUNGU. Hakuna kitu kinachomtamaisha Mungu kama kujiweka karibu na sisi, tunalithitisha hilo katika maandiko haya “Yakobo 4:5 Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure? Huyo…