DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Makuruhi ni nini, kama tunavyosoma katika biblia?

Makuruhi; Ni neno linalomaanisha “kuchukiza kuliko pitiliza”, Kwa mfano mtu akisema mabeberu ni makuruhi kwa waafrika. Anamaanisha kuwa mabeberu ni watu wanaochukiza sana/ au ni harufu mbaya sana kwa waafrika,…

MUNGU ATAKUUA UKIWA MBAYA MACHONI PAKE.

Mwanzo 38:6 “Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. 7 Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana;…

Je! kuna madhara kuchukiwa na kila mtu kwasababu huna mali?. Kama biblia inavyosema katika Mithali 14:20?.

Jibu: Tusome, Mithali 14:20 “Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana rafiki wengi”. Na  pia Mithali 19:4 Inasema  “Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake”.…

Ni yupi aliyekuwa mkwe wa Musa kati ya Reueli na Yethro?

JIBU: Ukisoma katika kitabu cha Kutoka, utaona kuna habari kama inajichanganya kuhusiana na baba-mkwe halisi wa Musa, Kwamfano Kutoka 2:18 Inasema aliitwa Reueli, lakini sehemu nyingine zote zilizosalia kama vile…

TABIA ZA WATAKAOMKARIBIA SANA MUNGU SIKU ILE.

Kwa mara ya kwanza Yohana alionyeshwa maono ya jinsi mbinguni kulivyo, na mfumo wake mzima wa utawala ulivyojiunda. Tukisoma mambo yale tusidhani, Mungu alikuwa anamuonyesha Yohana sinema tu ya mbinguni…

Mahali pa juu palikuwa ni wapi kama tunavyosoma katika biblia?

“Mahali pa juu” ni mahali palipoinuka ambapo watu walikwenda kutengeneza madhabahu na kutoa dhabihu zao.. Mahali hapo panaweza kuwa ni mlimani au mahali  penye mwinuko. Ilikuwa ni heshima kwa Mungu…

KANSA/SARATANI INATIBIKA.

Ni kweli Mungu amewapa wanadamu maarifa, ili yale yanayowezekana katika uwezo wao yatendeke, lakini  ipo wazi kuwa si kila tatizo mwanadamu anaweza kulitatua haijalishi ataonyesha bidii kubwa kiasi gani. Yapo…

JE! NA SISI NI SHABA ILIAYO NA UPATU UVUMAO?

Jina la Bwana wetu na mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima.. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Mtume Paulo aliandika hivi; 1 Wakorintho 13:1 “Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za…

USIWE MSIKIAJI TU! BALI MTENDAJI.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia.. Neno la Mungu wetu linafananishwa na vitu vingi katika biblia, kuna mahali linafananishwa na “Taa” (Zab.119:105)”, sehemu nyingine linafananishwa na…

Baghairi ni nini kama tunavyosoma katika 2Wakorintho 11:28?

Baghairi ni neno la kiunganishi lenye maana ya… “Mbali na”. Kwamfano nikitaka kusema.. “Mbali na yote ninayoyapitia bado nitasimama imara katika Imani”..naweza kuisema sentensi hiyo kama ifuatavyo “Baghairi ya yote…