DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Sikio lisikialo, na jicho lionalo, BWANA ndiye aliyeyafanya yote mawili.

Mithali 20:12 Sikio lisikialo, na jicho lionalo, BWANA ndiye aliyeyafanya yote mawili.

Je!Sisi kama wakristo Tunaruhusiwa kuchangia ujenzi wa Imani nyingine?

SWALI: Naomba kuuliza kwamfano mimi ni mkristo mwenye uwezo wa kifedha, nikiombwa kuchangia ujenzi wa msikiti, Je! Ni halali kufanya hivyo? JIBU: Tumeruhusiwa, kutoa misaada yoyote ile (Isiyokinzana na Neno…

Kwanini Mungu anajifanya kama hajui mambo?

Kwamfano ile habari ya Kaini utaona Bwana anamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? Tofauti na tunavyomchukulia Mungu kuwa ni Mkuu sana,…

Biblia inamaana gani inaposema “Wewe uchukiaye sanamu, wateka mahekalu?”

SWALI: Naomba kufahamu Bibliainaposema “Wewe uchukiaye sanamu, wateka mahekalu?” inamaana gani? Kuteka mahekalu ndio kukoje? Warumi 2:21 “basi wewe umfundishaye mwingine, je! Hujifundishi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, waiba…

Haiwezekani kuwafanya tena upya hata wakatubu

Nini maana ya huu mstari.“Haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu” (Waebrania 6:6) Tusome, Waebrania 6:4 “Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa…

THE BEST BAIT.

Blessed be the name of our Lord Jesus Christ, let us study the bible. In fishing, there is fishing using a hook, and there is also fishing using nets. Hook…

WAKATI ULIOKUBALIKA NALIKUSIKIA

Maandiko yanasema kila jambo lina majira yake.. Mhubiri 3:1 “Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu”. Maana yake ni kwamba kuna mambo ambayo…

DO NOT GO BACK TO HOPE FOR YOUR RIGHTEOUSNESS

Our enemy Satan, is like a roaring lion looking for someone to devour (1Pet. 5:8), so night and noon he fights against us in order to overthrow us or to…

WHY DID THE APOSTLES ASK THE LORD IN PRIVACY?

But there were times when when they heard the words of the Lord, they were not in a hurry to ask their questions at the same time, but sought the…

“Amdhaminiye mgeni hakosi ataumia;Achukiaye mambo ya dhamana yu salama

Nini maana ya huu mstari? Mithali 11: 15 “Amdhaminiye mgeni hakosi ataumia; Achukiaye mambo ya dhamana yu salama”. Biblia ni kitabu pekee ambacho kinamfundisha mtu kutembea katika kanuni zote (yaani…