DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NA WATU WOTE WALIKUWA WAKIAMKA MAPEMA, WAENDE HEKALUNI.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe karibu tujifunze biblia, Luka 21:37 “Basi, kila mchana alikuwa akifundisha hekaluni, na usiku huenda kulala katika mlima uitwao wa Mizeituni 38 NA WATU…

MAFUNDISHO MAALUMU KWA WAONGOFU WAPYA.

Sehemu ya kwanza: LIA NA NYONYA. Nakusalimu katika jina kuu lenye uweza la mwokozi wetu Yesu Kristo, sifa na heshima vina yeye milele na milele. Haya ni Makala maalimu kwa…

Nini maana ya wokovu watoka kwa Wayahudi? (Yohana 4:22)

Swali: Bwana alimaanisha nini kusema wokovu watoka kwa Wayahudi?, kwani si tunajua Wokovu unatoka kwa Mungu, iweje hapo aseme unatoka kwa Wayahudi? Jibu: Tusome, Yohana 4:22 “Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi…

NI NINI KINATOKA KINYWANI MWA MTOTO WAKO?

Nakusalimu tena katika jina la Bwana Yesu mwokozi  wetu, karibu katika kutafakari Maneno ya uzima..huu ni mwendelezo wa Makala  zinazohusu malezo ya Watoto kwa mzazi.  Ikiwa wewe ni mzazi au…

KALAMU YENYE UONGO YA WAANDISHI IMEIFANYA KUWA UONGO.

SWALI: Mstari huu una maana gani? Je, ni kweli waandishi waliweza kubadilisha baadhi ya maneno ya torati, Na hivyo inaifanya biblia isiamike hadi sasa? Yeremia 8:8 “Mwasemaje, Sisi tuna akili,…

UNAWAZA NINI SASA, JUU YA UFALME WA MBINGUNI?

Unawaza nini juu ya kuipeleka injili mbele?..Je unafikiri nini juu ya hali ya kiroho ya  wanao miaka kadhaa mbele?, endapo parapanda itakuwa haijalia miaka 20 ijayo, je hali ya kiroho…

Vitabu vya Deuterokanoni ni vya kiMungu?

Swali: Deuterokanoni ni nini?  na je vitabu vya Deutorokanoni ni vitabu vya kiMungu? (ambavyo vimevuviwa na Roho Mtakatifu) na vyenye kufaa kwa mafundisho.? Jibu: Deuterokanoni ni vitabu vingine saba (7)…

ILI TUONEKANE SAFI MBELE ZA MUNGU TUFANYE NINI?

Atukuzwe Yesu Kristo Bwana wetu milele na milele. Sifa na utukufu ni vyake yeye sikuzote.. Biblia inatuambia, mambo yote yaliyoandikwa katika agano la kale, yalikuwa ni kivuli cha agano jipya…

Mti wa Mshita ni mti wa namna gani?

Swali: Mti wa Mshita uliotengenezea sanduku la Agano ndio upi kwasasa?(Kutoka 25:10) Jibu: Tusome Kutoka 25:10 “Nao na wafanye sanduku la MTI WA MSHITA; urefu wake na uwe dhiraa mbili…

Wana wa Manabii walikuwa ni watu gani?

Swali: Katika biblia tunasoma sehemu kadha wa kadha zikiwataja “wana wa manabii”.. Je! Hawa wana wa manabii walikuwa ni watu gani?, na kazi yao ilikuwa ni ipi? Na kwanini waliitwa…