Swali: Biblia inatufundisha katika Wagalatia 5:23 kuwa “tuwe wapole kiasi”, sasa napenda kujua mtu utakuwaje mpole kiasi. Jibu: Tusome, Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu,…
Jibu: Tusome kuanzia mstari wa 5.. Zaburi 91:5 “Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana, 6 Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri”. “Uele” ni janga linaloleta mauti…
Jibu: Tusome, "Ganjo" ni mahali palipoharibika.. Jengo lililoharibika linaitwa “Ganjo” yakiwa mengi yanaitwa “maganjo”, mji ulioharibiwa aidha kwa vita au kwa janga fulani pia unaitwa “Ganjo”. Katika biblia neno hili…
Fahamu Maana ya Mithali 19:15 “Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa”. Mara nyingi Sulemani kwa hekima ya Roho aliongozwa kuona uhusiano uliopo kati ya…
Fahamu Maana ya; Mithali 19:11 Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa. Mstari huo unatufundisha mtu aliyejaa “Busara” moyoni ni mtu wa namna gani.. Anaeleza…
SWALI: Nini maana ya Mithali 24:11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe; Nao walio tayari kuchinjwa uwaopoe. JIBU: Mstari huu una maana mbili, Mana ya kwanza ni uhai kama ‘uhai’ alionao mwanadamu…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia yetu. Kuna mambo makuu mawili ambayo…
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tena tujifunze maneno ya uzima. Kulikuwa na aina nne za wito ambao Bwana aliwaitwa mitume wake. Wito wa kawaida: Ambapo…
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya neema ya Bwana wetu Yesu Kristo. Sisi kama wakristo hatuna budi kutambua kuwa yapo majira mbalimbali tutapishana…
Fahamu mambo ambayo ni wajibu wako kufanya, na yale ambayo unapaswa umsubiri kwanza Roho Mtakatifu akuongoze. Kama mkristo ni vizuri kuweza kutofautisha mambo ambayo ni wajibu wako kuyafanya, na mambo…