DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mfano ule Yesu alioutoa wa Kabaila aliyesafiri katika nchi ya mbali, una maana gani (Luka 19:12-27) ?!!

JIBU: Tusome..  Luka 19:12 “Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.13 Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia,…

Je! Ayubu aliteseka katika majaribu kwa miaka mingapi?

JIBU: Biblia haijatueleza muda Ayubu aliokaa katika majaribu, Lakini tukisoma baadhi ya vipengele inatupa picha kukisia muda aliodumu, kwa mfano tukisoma ile sura ya Ayubu 7:2-6 Ayubu anasema.. “2 Kama mtumishi…

Bwana alimaanisha nini kusema “Heri waliotasa, na matumbo yasiyozaa, na maziwa yasiyonyonyesha”?

SWALI: Shalom! Luka 23:27 “Mkutano mkubwa wa watu wakamfuata,na wanawake waliokuwa wakijipiga vifua vyao na kumwombolezea.Yesu akawageukia,akasema,Enyi binti za Yerus’alemu,msinililie mimi,bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu.29″KWA MAANA TAZAMA SIKU…

Nifanyaje ili nijue kuwa uamuzi ninaokwenda kuchagua kufanya ni mapenzi ya Mungu?

SWALI : Ninatamani kwenda kusomea udaktari , lakini nina mashaka labda sio mapenzi ya Mungu kwangu, inanifanya nisiwe na maamuzi ya kueleweka..Naomba ushauri nifanyeje ili nijue masomo Mungu aliyoyakusudia nisomee…

Kucheza karata ni sahihi kwa Mtu aliye MKRITO?

JIBU: Kwanza kabisa hebu tujifunze juu ya hili.. "Ni kwanini Shule nyingi za bweni karibia zote, zinakataza watoto kuwa na simu au kucheza karata au magemu au kuangalia movie?”..unafikiri ni kwanini?..Jibu…

Kwanini maandiko yanajichanganya yenyewe kwenye habari ya Paulo alipotokewa na Yesu alipokuwa anakwenda Dameski?

SWALI: Shalom mtumishi wa Mungu; Naomba unisaidie kuelewa haya maandiko katika (matendo 9:3-7, 22:6-9, 26:12-14). Pale Mtume Paulo alipokuwa anatoka Yerusalemu kwenda Dameski kushika wakristo na kukutana na YESU njiani. Kama yanazungumzia…

Wale Watakatifu waliofufuka na Bwana Yesu WALIKUWA WAPI KABLA YA KUFUFUKA kwao je! walikuwa Peponi au ni wapi?.

JIBU: Wafu wote waliokufa kabla ya Kristo kuja duniani walikuwa makaburini, au sehemu za wafu, mahali pengine katika biblia panapaita Kuzimu, Daudi aliomba katika roho akisema “Maana hutakuachia kuzimu nafsi…

Wapunga Pepo wanaozungumziwa kwenye biblia ni watu wa namna gani?

SWALI: Tukisoma Matendo 19:13 Inasema pale “Baadhi ya Wayahudi wenye kutanga-tanga, NAO NI WAPUNGA PEPO….” swali,Naomba kufahamu hawa Wapunga Pepo ni watu wa aina gani ndugu zangu? JIBU: Tafsiri ya Neno kupunga…

Nini maana ya Kipaimara?..Na je! Ni jambo la kimaandiko?

Nini maana ya Kipaimara?..je watu wanaweza kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono na kwa kupitia mafunzo fulani ya kipaimara? JIBU: Kipaimara ni Neno lenye maana ya “uthibitisho”…Neno hili linatumika katika…

Je! mtu kuhisi kitu fulani au kusikia sauti za watu wengine walio mbali, kunaweza tokana na Mungu?

Baba mmoja Ananisimulia akisema, “Mimi hapa huwa ninasikia watu wanaosema wanakuja kunikamata.akaniuliza je! Na wewe unawasikia? Nikamwambia hapana mimi siwaskii. Akanichukua akanishika mkono Akaniambia” Unasikia hiyo nyimbo yangu wanaimba? (Mimi…