Gombo ni aina ya vitabu vilivyo katika mfumo wa kuviringishwa, kwa lugha ya kiingereza “Scrolls” (tazama picha juu). Aina ya vitabu hivi vilitumika sana katika enzi za zamani na vilikuwa…
Je! Kucheza mpira au kushabikia mpira ni dhambi kulingana na maandiko?. Bwana kutuumba miili yetu hii ili kuishughulisha, hajatuumbia ikae tu bila kujishughulisha..Na njia mojawapo ya kuishughulisha ni kwa kufanya…
Kabla ya kwenda katika maombi Awali ya yote ni vizuri ukafahamu kuwa mafanikio ya kiuchumi yanaweza kuletwa na vitu vikuu vitatu Mwanadamu mwenyewe. Shetani. Mungu. Na kila mmoja anayo kanuni…
MISTARI YA WAZAZI/WALEZI KUHUSU WATOTO. Haya Mafungu ya biblia ambayo wazazi/walezi wanapaswa wayajue kuhusu watoto wao. Zaburi 8:2a “Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao Umeiweka misingi ya nguvu;..” Mungu anaonyesha…
Biblia inasema nini kuhusu unyenyekevu? Unyenyekevu ni ile hali ya “kujishusha” na kuwa tayari “kutumika kwa utumishi ule usiostahili kutumika” bila kiburi wala majivuno. Biblia inasema Mungu huwapinga wote wenye…
Bwana Yesu amejulikana kwa majina mengi tofauti tofauti katika biblia, kuna sehemu katajwa kama Mwanakondoo (Yohana 1:29), sehemu nyingine kama nyota ya asubuhi, sehemu nyingine kama Mzao wa Daudi (ufunuo…
Aina za Uongozi Uongozi umegawanyika katika aina kuu tatu. 1) Uongozi wa Madhabahuni, 2) Uongozi wa kiserikali na 3) Uongozi wa kijamii. 1. Uongozi wa Madhabahuni Uongozi wa madhabahuni,…
Binadamu wa kwanza alikuwa ni “Adamu” na maandiko yanasema aliishi miaka 930. Mwanzo 5:5 “ Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa”. Adamu, hakuwa…
Shalom, Jina la Bwana wetu, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu. Katika ulimwengu wa sasa, ukitaja mama wa kambo, au baba wa kambo, tayari picha ya…
Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu na mwokozi wetu Yesu Kristo, Mfalme wetu, Karibu tujifunze maneno ya uzima. Utakumbuka huduma ya Bwana wetu iligawanyika katika sehemu kuu tatu,…