Tusome, Warumi 1:25 “Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina”. Kiumbe ni kitu chochote chenye uhai kilichoumbwa na Mungu.…
Vitimvi ni mipango inayopangwa kwa siri na kikundi cha watu ili kufanya uasi juu ya mtu au watu. Katika biblia Mitume wa Bwana Yesu walifanyiwa vitimvi vingi sana vya kuwaangamiza,…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia, chakula cha uzima wa roho zetu. Maandiko yanasema kuwa tunaokolewa kwa Neema na si kwa matendo, Waefeso 2:8 “Kwa maana…
Swali 1: Ni nani aliyemshawishi Daudi kuwahesabu Israeli ni Mungu au shetani?..Maana 2Samweli 24:1 inasema ni Mungu lakini 1Nyakati 21:1 inasema ni shetani. Jibu: Ni shetani ndiye aliyemshawishi Daudi kwa…
Tunguja ni aina ya mmea ambao haupatikani kirahisi, mmea huo una mizizi ambayo inakuwa na umbile kama la mtu. Kutokana na maumbile hayo ya mizizi ya mmea huo, kufanana na…
Neno kupiga kite limeonekana mara kadhaa katika biblia. Maana ya “kupiga Kite” ni kutoa pumzi nje, kuashiria aidha kushangazwa, kupata unafuu au kukata tamaa. Kwamfano mwanafunzi aliyekuwa anasubiria matokeo ya…
Mjoli ni mfanyakazi-mwenza, Ni mtu unayefanya naye kazi moja inayofanana.. Kwamfano kama wewe ni mwalimu, ukakutana na mwalimu mwenzako huyo ni mjoli wako...Kama wewe ni mhubiri ukakutana na mhubiri mwenzako…
Maandiko yanasema siku zetu za kuishi ni miaka70 tukiwa sana na nguvu ni miaka 80, sasa swali mbona kuna wengine wanaizidi hiyo miaka na kufikisha hata miaka 90? Tusome, Zaburi…