DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

WAFALME WATOKAO MAWIO YA JUA.

Ufunuo 16:12 “Na huyo wa sita akakimimina kitasa chake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua. 13 Nikaona…

TOBA IGUSAYO MOYO WA BWANA.

Inadhaniwa na wengi ili kwamba mtu asemehewe dhambi zake na Mungu ni lazima aongozwe sala Fulani ijulikanayo kama sala ya Toba, na kwamba mtu asipoongozwa sala hiyo basi huwezi kusamehewa…

Bwana alimaanisha nini kusema “Na kondoo wengine ninao ambao si wa zizi hili” Hao kondoo wengine ni akina nani?

JIBU: Tukisoma Yohana 10:16 Inasema… “Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja”.…

MADHARA YA DHAMBI YA UASHERATI.

Kufanya kitendo cha ndoa na mtu ambaye hamjaoana, ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu, kuwa na boyfriend au girlfriend na kujihusisha na vitendo vya kukutana kimwili kuna madhara makubwa…

WALIO NA HEKIMA NDIO WATAKAOELEWA.

Danieli 12:8 “Nami nikasikia, lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje? 9 Akasema, Enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhuri, hata wakati…

VITABU VYA BIBLIA: Sehemu ya 6

Shalom, Karibu tujifunze Biblia, Huu ni mwendelezo wa uchambuzi wa vitabu vya Biblia leo tutasogea mbele kitabu kimoja kinachofuata cha Ezra.Katika vitabu vilivyotangulia vya Wafalme na Mambo ya Nyakati, tuliona…

MUNGU NDIYE ANAYEISHAWISHI MIOYO.

Shalom, mtu wa Mungu karibu tujifunze maneno ya Mungu, ambayo ndio kweli pekee inayoweza kumfungua mtu moja kwa moja bila kubakisha chembe zozote za vifungo nyuma.. Leo kwa neema za…

KISASI NI JUU YA BWANA.

Moja ya dhambi kuu inayopeleka wengi kuzimu ni kutokusamehe…Bwana alisema, msipowasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni naye hatawasamehe ninyi makosa yenu (Mathayo 6:15). Ikiwa na maana kuwa, unaweza…

Je! hizi roho saba za Mungu ni zipi? na je zinatofautiana na Roho Mtakatifu?

Swali ambalo ni wajibu wetu sote kulijua ni juu ya Roho saba za Mungu, kwamba zenyewe ni nini na zinatendaje kazi. Na pia ni muhimu kufahamu juu ya makanisa saba…

Huyu Azazeli ni nani tunayemsoma katika(Walawi 16:8)

SWALI: Huyu AZAZELI ni nani? Kwa sababu ukisoma maandiko naye aikuwa anapewa kafara? (Walawi 16:8). JIBU: Neno Azazeli linaonekana likitajwa mara moja tu katika kitabu cha Mambo ya Walawi sura…