Wakati ni “kipindi cha Muda” kwa kusudi Fulani, Kwamfano ukipanga kesho saa 7 mchana uende sokoni kununua bidhaa.. sasa huo muda wa “Saa 7 mchana” ndio unaoitwa “wakati wa kwenda…
Swali: Hawa wadudu, tunaowasoma katika Yoeli 2:25 (Nzige,Parare, madumadu na tunutu) ni wadudu gani na wanabeba ujumbe gani kiroho? Tusome, Yoeli 2:25 “Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na NZIGE, NA…
Silaha moja shetani anayoitumia kuharibu maisha ya kiroho ya watu wengi, hususani vijana ni MAKUNDI!.. Na mtu mkamilifu ni Yule anayeweza kuchagua aina ya watu wa kutembea naye. Biblia inatufundisha…
Bwana Yesu atukuzwe daima. Karibu tena tuyasogelee maneno matukufu ya Mungu wetu Yehova; Maandiko yanasema hivi; Waefeso 2:1-2 Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu;ambazo mliziendea zamani…
Swali: Katika 1Timotheo 2:8 tunaona Mtume Paulo akiwataja wanaume kuwa wanaposalisha wanyanyue mikono iliyotakata, sasa hii mikono iliyotakata ndio mikono ya namna gani? Jibu: Tusome, 1Timotheo 2:8 “Basi, nataka wanaume…
Mithali 23:26 “Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu. 27 Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba. 28 Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza…
1Timotheo 5:22 “Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi”. Hapa tunaona mtume Paulo, anampa Timotheo maagizo ya namna ya kuwa kiongozi…
Lipo la kujifunza juu ya Yule mtu aliyepooza kwa miaka 38, na jinsi alivyopokea uponyaji wake katika siku moja. Maandiko yanasema mtu huyu pamoja na wenzake walikuwa wakingojea muujiza katika…
Jibu: Neno “kaniki” limeonekana mara mbili tu katika biblia..(Yeremia 8:21 na Yeremia 14:2). Na sehemu zote mbili linamaanisha “vazi jeusi lililovaliwa na watu wanaoomboleza” aidha kutokana na janga fulani au…
Swali: Katika Ufunuo 22:16, tunasoma ile nyota inamwakilisha Bwana Yesu, lakini tukirudi katika Isaya 14:12, tunasoma ile nyota inamwakilisha shetani, hapa imekaaje? Jibu: Tusome.. Ufunuo 22:16 “Mimi Yesu nimemtuma malaika…