Kamsa ni nini? Kamsa ni Ukelele wa habari ya moto au vita (kwa lugha ya kiingereza-Battle cries) Vifungu hivyo vinaeleza Neno hilo; Wimbo 3:8 “Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila…
Juya maana yake ni jarife, au wavu wa kuvulia samaki. Habari hiyo inapatikana kwenye vifungu hivi vya maandiko; Habakuki 1:13 “Wewe uliye na macho safi hata usiweze kuangalia uovu, wewe…
Luka 17:26 “Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu. 27 Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia…
Daawa ni madai, au mashitaka, malalamiko, au hukumu. Kwamfano pale mwenzako anapokukosea, au amekudhulumu, au amekutukana au amekufanyia jambo baya, na unataka kwenda kumshitaki , sasa hilo shitaka au madai…
Beramu ni nini? Beramu ni jina lingine la neno BENDERA. Hivyo mahali popote kwenye biblia unapolisoma neno hili basi fahamu kuwa linamaanisha bendera. Hesabu 1:52 “Na wana wa Israeli watazipanga…
SWALI: Yakobo aliposhindana na Malaika alishikwa uvungu wa paja akateguka…Naomba kujua nini maana ya kuteguka uvungu wa paja? Mwanzo 32:24 “Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka…
Jabari maana yake ni mtu hodari, asiyeogopa, shujaa. Isaya 49:24 “Je! Aliye hodari aweza kunyang'anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka? 25 Naam, Bwana asema hivi, Hata jeshi…
Baradhuli ni nani/ ni nini kama lilivyotumika kwenye biblia? Kibiblia Baradhuli ni mtu asiyefaa, mpumbavu sana, aliyevuka mipaka Ipo mistari kadha wa kadha inayoeleza tabia za watu wabaradhuli. Kwa mfano:…
Areopago ni nini? Areopago ni baraza kuu la Waathene au mahali walipokutanika wakuu wa Athene. Kwa ajili ya kuzungumza mambo mbalimbali ya muhimu,kama vile kusikiliza kesi zinazohusiana na mauaji au…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..Ni neema Bwana katujalia kuliona jua tena siku ya leo, karibu tuyatafakari maandiko Pamoja.. Kama tunavyojua tunaishi katika siku za mwisho, na kila dakika…