DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

“Yodi” ni nini kama tunavyoisoma katika Mathayo 5:18?

Jibu: Tusome, Mathayo 5:18 “Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie”. Yodi ni neno lililotumika katika lugha ya…

Kwa kuwa ni shida mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki;

SWALI: Warumi 5:7 “Kwa kuwa ni shida mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki; lakini yawezekana mtu kuthubutu kufa kwa ajili ya mtu aliye mwema”. Bwana Yesu asifiwe mtumishi…

KOIKOI ANGANI AJUA NYAKATI ZAKE ZILIZOAMRIWA.

Yeremia 8:7 “Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za Bwana”. Koikoi, mbayuwayu na…

Nini tofauti kati ya moyo na roho?

Moyo ni neno ambalo linaweza kuwakilisha aidha nafsi ya mtu au roho ya mtu, inategemea na linapotumika. Kwa kawaida hakuna lugha ya kuielezea nafsi ya mtu jinsi ilivyo, au roho…

AKAZIDI KUENDELEA KATIKA HEKIMA NA KIMO.

Shalom, karibu tujifunze maneno ya uzima. Wengi wetu tunadhani Bwana Yesu alizaliwa akiwa na ufahamu kamili wa kila kitu, au ujuzi wa mambo yote, Hapana alizaliwa akiwa kama sisi kabisa,…

MIUJIZA YA KRISTO, HAITEGEMEI KANUNI ZA KIBINADAMU.

Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, lakini kabla hatujaendelea, ningependa kwanza uzitafakari hizi habari mbili, kwasababu ndio kiini cha somo letu kilipo, zingatia sana sana  hiyo mistari iliyowekwa katika herufi…

Tofauti kati ya mtume na mwanafunzi ni ipi kibiblia?

SWALI: Tofauti kati ya mtume na mwanafunzi ni ipi? Kwanini kuna mahali Bwana Yesu anawaita wale aliowaita mitume, na sehemu nyingine anawaita wanafunzi, tofauti yao ni ipi? Au ni kitu…

Nini maana ya.. “Utoapo sadaka mkono wako wa kuume usijue ufanyalo mkono wako wa kushoto”

Jibu: Tusome kuanzia juu kidogo, Mathayo 6:1“ Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.…

TUNALINDWA NA NGUVU ZA MUNGU.

Jina la Bwana wetu, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, neno la Mungu lililo hai, lenye nguvu na uwezo. Tunapomwamini Bwana Yesu na kubatizwa, na kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu,…

Je! “Mke wa ujana wako” ni yupi kibiblia?

SWALI: Je! Mke wa ujana ni yupi.. Je! siruhusiwi kumwacha Rafiki yangu wa kike (Girlfriend) au wa kiume (Boyfriend) na kwenda kuwa na mahusiano na mwenzi mwingine, kwasababu yule wa…