DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mwandishi wa kitabu cha Mithali ni nani?

SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Mithali alikuwa nani? Sulemani mwana wa Daudi, anajitaja mwenyewe kama mwandishi, katika mwanzo kabisa wa kitabu hiki Mithali 1:1 Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi,…

Fahamu Mwandishi wa kitabu cha Wafalme

SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Wafalme alikuwa nani? Biblia haijaweka bayana aliyekuwa mwandishi wa kitabu hiki, lakini kufuatana na hadithi za kiyahudi huaminika kuwa nabii Yeremia ndiye alikuwa mwandishi wa…

Mwandishi wa kitabu cha Filemoni ni nani?

Mwandishi wa kitabu cha Filemoni Kitabu cha Filemoni ni moja ya nyaraka ambazo mtume Paulo aliziandika akiwa kifungoni Rumi.  Waraka huu alimuandikia Filemoni mtu ambaye alimgeuza yeye mwenyewe katika injili…

ZIDI KUTAFUTA UTAKASO WA MWILI.

Shalom. Usiishie kutafuta tu utakaso wa roho, bali tafuta pia UTAKASO WA MWILI, kwamaana vitu hivi viwili vinaenda sambamba, kwasababu vitu hivi vikichafuka vinaiharibu pia nafsi ya mtu. 2Wakorintho 7:1“Basi,…

Maana ya Mhubiri 1:9 “wala jambo jipya hakuna chini ya jua”. 

SWALI: Mhubiri anamaana gani anaposema “Wala jambo jipya hakuna chini ya jua” na angali tukiangalia tunaona kila siku mambo mapya yanavumbiliwa mfano wa AI (artificial inteligence)? ambayo hayakuwepo zamani?. JIBU:…

TUNZA MAVAZI YAKO NA FUA NGUO ZAKO!

Vazi/Nguo kiroho linawakilisha “matendo ya mtu”, maana yake kiroho mtu mwenye mavazi masafi, maana yake matendo yake ni masafi, na kinyume chake mwenye mavazi machafu maana yake matendo yake si…

Kwanini wale askari walirudi nyuma, wakaanguka chini (Yohana 18:6)

Kijeshi kushindwa kumtambua adui yako mpaka adui yako anajitambulisha kwako tena mbele ya macho yako ni ishara kubwa ya kushindwa mapambano. Ndivyo ilivyokuwa kwa wale askari, walipofika na ujasiri wao…

Timotheo alikuwa wapi wakati anaandikiwa nyaraka zake na mtume Paulo?

Waraka wa kwanza na ule wa pili wa timotheo,mtume Paulo aliuandika akiwa gerezani kama mfungwa Rumi. Kwa urefu wa maelezo ya nyaraka Paulo alizoziandika akiwa gerezani, fungua hapa >>> Je…

Wagerasi ni nchi gani? (Luka 8:26-39)

Wagerasi ni nchi gani? (Luka 8:26-39)

Apitaye cheo ni mtu wa namna gani?

Jibu: Turejee.. 2Yohana 1:9 “KILA APITAYE CHEO, wala asidumu katika mafundisho ya Kristo, yeye hana Mungu. Yeye adumuye katika mafundisho hayo, huyo ana Baba na Mwana pia”. “Cheo” ni neno…