DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Isaya 43, USIOGOPE!

Isaya 43:1 “Lakini sasa, Bwana aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. 2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa…

PETRO AKAMWAMBIA YESU “BWANA NA HUYU JE”?

Tunajifunza kisa, ambacho kinamuhusu Petro, wakati wakiwa kule baharini yeye na wenzake, walipotokewa na Bwana,.. Swali la kwanza ambalo Petro aliulizwa na Bwana mara tatu ni Je! unanipenda?, Naye akajibu…

UMEFUMBULIWA MACHO YAKO YA KIROHO?

Biblia inapozungumzia mioyo..haimaanishi hii mioyo iliyomo ndani ya vifua vyetu inayosukuma damu…hapana bali inazungumzia utu wa ndani ambao ni roho zetu. Biblia inasema katika… Waefeso 1:18 “macho ya mioyo yenu…

MALEZI YA MTOTO MCHANGA.

Yafahamu malezi ya mtoto mchanga kibiblia. Ukitaka mtoto wako mchanga awe na afya na ukuaji bora, na baadaye aishi Maisha aliyokusudiwa na Mungu ya mafanikio rohoni..Basi ni vema ukatafuta ushauri…

NYAKATI HIZI NI ZA MWISHO, HII DUNIA INAKWENDA KUISHA.

Isaya 24:19 “Dunia kuvunjika, inavunjika sana; dunia kupasuka, imepasuka sana; dunia kutikisika, imetikisika sana. 20 Dunia inalewa-lewa kama mlevi, nayo inawaya-waya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utailemea; nayo…

Mtu astahiliye hofu ni yupi?

SWALI: Mtu astahiliye hofu ni mtu wa namna gani kama tunavyosoma katika Warumi 13:7? JIBU: Tusome, Warumi 13:7 “Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru;…

Kuhutubu ni nini?

Kuhutubu linatoka na neno "kuhutubia"... ambalo chanzo chake ni "HOTUBA".  Hotuba ni maneno yaliyoandaliwa ambayo mtu anaweza kuyazungumza mbele ya kadamnasi ya kuwafaa...yanaweza kuwa ya kimaendelea au ya kimikakati. Tukirudi…

SHETANI ANAITHAMINI HATA MAITI YAKO.

Biblia inatupa mwangaza wa jinsi shetani alivyomaanisha kweli kuwaangamiza wanadamu japokuwa sisi hatulijui hilo.. Unaweza ukadhani siku ukifa tu, ndio basi shetani anakuwa amemalizana na wewe. Huo mtazamo ni wakuuondoa…

MAMBO MENGINE HAYATOKI ISIPOKUWA KWA KUFUNGA.

Mathayo 17:21 Kuna mambo ambayo kamwe hayawezi kutokea bila kufunga…Neno “kufunga” maana yake ni “kutokuruhusu kitu kiingie wala kitoke sehemu fulani”…..kwamfano kuku ili aweze kuwa na Watoto hana budi kupitia…

FAHAMU TAFSIRI ZA NDOTO MBALIMBALI.

Ndoto ni eneo ambalo watu wengi wanadanganywa na kupotoshwa Na hiyo yote ni kutokana na kukosa maarifa ya kutosha. Wapo watu wengi mitandaoni, wanaowaeleza watu tafsiri za ndoto mbalimbali zao…