SADAKA ni moja ya maagizo muhimu sana, na yanayobeba Baraka nyingi sana kwa Mtu, kama ikitolewa kulingana na Neno na kwa Hiari ya mtu pasipo kulazimishwa au kusukumwa na mazingira…
Habari ya huyu kipofu unaweza ukawa umeshaisoma mara nyingi sana, lakini lipo jambo limejificha ambalo kila mtu anapaswa alijue, tafadhali soma tena kwa utaratibu na kwa utulivu kisha tutatazama ni…
Bwana Yesu alisema “MTU AKINIPENDA ATAZISHIKA AMRI ZANGU (Yohana 14:15)” lakini tunaona hiyo pekee haitoshi kwasababu kama ingekuwa inatosha Bwana asingemwambia tena Mtume Petro mahali pengine maneno haya… Yohana 21:15…
Waamuzi 14: 13”......... Basi wakamwambia, Haya, tega kitendawili chako, ili tupate kukisikia. 14 Naye akawaambia, KATIKA HUYO MWENYE KULA KIKATOKA CHAKULA, KATIKA HUYO MWENYE NGUVU UKATOKA UTAMU Kitendawili hichi Samsoni…
Ukisoma biblia kuna maneno mtume Paulo aliyasema ambayo kwamfano yangetamkwa leo mbele za watu wengi, kimsingi yangeonekana kama ni kufuru. Jaribu kuwazia heshima Mungu aliwayowapa mitume wake 12, hata kabla…
Bwana Mungu alipowaumba Adamu na Hawa, tunafahamu hakuwaumba wote kwa wakati mmoja, bali alianza kumuumba Adamu kwanza kisha Hawa baadaye, Ndoa ya Adamu na Hawa ndio ndoa ya kwanza kabisa…
Maombolezo 3:22 Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. 23 NI MPYA KILA SIKU ASUBUHI; Uaminifu wako ni mkuu. 24 Bwana ndiye fungu langu, husema nafsi…
Moja ya jukumu la muhimu sana la kufanya baada ya kuzaliwa mara ya pili, ni kuzidi kumjua Yesu Kristo kwa undani, kwasababu Agano jipya lote linamuhusu Yesu Kristo, kiini chote…
Mtu anapozaliwa mara ya pili, siku hiyo hiyo anafanyika kuwa kiumbe kipya, na mtu aliyezaliwa mara ya pili ni lazima awe ametubu dhambi zake kwanza kwa kumaanisha kuziacha kabisa, kisha…
Yohana 15.1 “Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima. 2 KILA TAWI NDANI YANGU LISILOZAA HULIONDOA; NA KILA TAWI LIZAALO HULISAFISHA, ILI LIZIDI KUZAA 3 Ninyi mmekwisha…