DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

KAMA MKRISTO FAHAMU ZIPO HATUA UTAPIGISHWA NA MUNGU.

Wakati ule Mbingu inafungwa Israeli mvua isinyeshe miaka mitatu na nusu, tunaona Mungu alimwagiza Eliya aende akakae karibu na kijito cha Maji cha Kerithi, anywe maji ya mto ule, na…

Wale mamajusi walikuwa ni wakina nani?

Jibu: Tofauti na inavyodhaniwa na wengi kuwa wale mamajusi walikuwa ni wasoma nyota au watu wenye elimu na nyota (wanajimu)..lakini ukweli ni kwamba hawakuwa wanajimu wala wachawi, wala wasoma nyota.…

Noeli ni nini, na je! Neno hili linapatikana katika biblia?

Noeli kwa lugha ya kilatini ni neno linalomaanisha, “siku ya kuzaliwa” , lakini linalenga mahususi siku ya kuzaliwa kwa mfalme wa ulimwengu duniani (yaani Yesu Kristo). Na kwa lugha ya…

INJILI YA MANENO LAINI ITAKUGHARIMU.

Ukiona unahubiriwa juu ya hukumu ya Mungu, au juu ya habari ya siku za mwisho halafu unachukia au unakwazika, lakini wakati huo huo ukiambiwa habari za mafanikio na mema ndio…

JE! JICHO LAKO LINAONA NINI KATIKATI YA MAJARIBU?

Shalom. Karibu tujifunze maneno ya uzima, Biblia inatuambia, Bwana wetu Yesu alijaribiwa sawa sawa na sisi, katika mambo yote, lakini hakutenda dhambi wala kutetereka katika imani, Sio kwamba alikuwa mgumu…

Nini maana ya neno ‘Kuabiri’ kama linavyotumika katika  biblia?

Kuabiri maana yake ni kupanga safari, husasani ile ya majini, Neno hilo ndilo lililozaa neno abiria, ikiwa na maana  wale wanaosafiri. Utalisoma sana sana katika zile ziara za mtume Paulo,…

KUMTUMIKIA MUNGU, KUNAWEZA KUWE KINYUME NA MATARIJIO YAKO.

Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, Biblia inatuambia Neno lake ni kama fedha iliyosafishwa motoni mara saba,(Zab 12:6) ikiwa na maana kuwa Neno lile lile moja linaweza kuwa na mafunuo…

Nini maana ya..“wakiwazuia watu wasioe” (1Timotheo 4:1)

Swali: Mtume Paulo anasema katika 1Timotheo 4:3, kwamba “wakiwazuia watu wasioe”. Alikuwa ana maana gani hasa?. Jibu: Tusome 1Timotheo 4:1  “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine…

Ukoma wa nyumba ulifunua nini zamani?

Ukoma enzi za biblia ni ugonjwa uliojulikana kama pigo kuu kutoka kwa Mungu, kutokana na dhambi ambazo mtu alizozitenda. Mtu aliyegundulika  kuwa ana ukoma ilikuwa anatengwa na jamii nzima ya…

BIBLIA INAITAJA NJIA KUU YA MFALME, NJIA HII NI IPI?

Zamani  enzi za biblia  Njia kuu ya mfalme, ilikuwa ni njia iliyotengenezwa mahususi kuunganisha mataifa mengi na miji mingi, na lengo lilikuwa ni kurahisisha shughuli za kibiashara na usafirishaji katikati…