Kikoto ni nini? Kikoto ni aina ya kiboko mfano wa mjeledi. Tazama picha juu. Tunaweza kuona wakati ule Yesu alipokwenda Hekaluni na kukuta watu wameigeuza nyumba yake kuwa pango la…
Uvuvio ni Nini? Neno uvuvio maana yake ni “kupuliza hewa kwa nguvu”..unapopuliza makaa ya moto maana yake unayavuvia makaa. Unaweza kuuvuvia makaa ya moto kwa mdomo au pepeo. Ayubu 20:…
Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe, Kama umeamka salama ni jambo la kumshukuru Mungu sana, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Uzima ya Bwana wetu, ambayo ndio chakula cha roho…
There's an incident in the Bible about a boy who was possessed by an evil spirit. The father's boy had brought him to Jesus' disciples so they could drive out…
Kuabudu ni nini? Kuabudu maana yake ni “kufanya Ibada”.. Kitendo cha kufanya Ibada ndio “kuabudu”. . Hivyo Ibada yoyote ile ni lazima ijumuishe vitu hivi vitano vifuatavyo. Kujifunza Maneno yake…
Kwanini Kuhani wa Mungu Eli alikufa kwa kuvunjika shingo, Na sio kwa njia nyingine yoyote salama? Habari ya Eli ni funzo tosha kwa kanisa la Kristo leo hii. Mungu aliruhusu…
Shalom. Psalms 9:10 "And they that know thy name will put their trust in thee:for thou,Lord,hast not forsaken them that seek thee," Let us continue to remind ourselves that God…
Blessed be the glorious Name of our Lord Jesus Christ. As it is ,we live in the last days and the world in itself is coming to its end.Therefore, it…
Nzio ni kipimo cha ujazo wa kimimika kilichotumiwa zamani na wagiriki, Nzio moja ina ujazo wa karibia lita 40, Katika biblia utaona ile habari ya Yesu kualikwa katika arusi kule…
Hozi ni nini? Hozi ni neno linalomaanisha himaya, ikijumuisha eneo na vitu mtu anavyomiliki. Kwa mfano unaweza kuona, Yabesi, alimwomba Mungu ambariki na kumzidishia Hozi yake (Himaya yake), Hiyo akiwa…