DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

UJUE UCHAWI WA MANABII WA UONGO?.

Kuna makundi mawili ya WACHAWI!.  1. Wachawi wa kawaida wanaojulikana; wanaopaa na Nyungo, na kuloga na kuwanga!. Hawa wanamharibia mtu Maisha yake ya kimwili tu, kufanya mtu awe na kasoro…

Je kuchonga Nywele na Ndevu ni dhambi?

Jibu: Kabla ya kupata jibu la swali hili, hebu tujiulize kwanza swali lifuatalo: Je! Kuchonga nyusi (kuzitinda) ni dhambi?? Kama kuchonga nyusi ni dhambi, au ni kosa au ni jambo…

Kupoza maana yake nini katika biblia? (Mathayo 10:8).

 Kupoza ni nini? Jibu: “Kupoza” ni Kiswahili kingine cha neno “kuponya”. Hivyo badala ya kutumia neno kuponya, linaweza kutumika neno “kupoza” likawa na maana ile ile. (kama vile neno mtu…

Kupiga ramli ni nini katika biblia?

Ramli ni elimu ya ufalme wa giza, wanayotumia waganga na wenye mapepo ya utambuzi katika kutabiri mambo yajayo, hivyo mtu yeyote anayetumia elimu hiyo kutabiri mambo yajayo, mtu huyo anapiga…

“Si watu wa kutumia mvinyo sana”, je tunaruhusiwa kutumia mvingo kidogo?(1Timotheo 3:8).

Jibu: Tusome.. 1 Timotheo 3:8 “Vivyo hivyo mashemasi na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, SI WATU WA KUTUMIA MVINYO SANA, si watu wanaotamani fedha ya aibu”. Kufuatia mstari huu…

Hapana hata mmoja aliyethubutu kuambatana nao;

SWALI: Biblia ina maana gani kusema maneno haya kwa habari ya mitume? Matendo 5:13 “hapana hata mmoja aliyethubutu kuambatana nao; ila watu waliwaadhimisha;” JIBU: Tusome habari hiyo tena; Matendo ya…

Neno Kupatiliza maana yake nini katika biblia?

Kupatiliza ni neno lenye maana ya “kupiga/kuadhibu ”..mfano badala ya kusema “fulani, kapigwa na Mungu, unaweza kusema fulani kapatilizwa na Mungu” Lakini swali la kujiuliza ni je!..Mungu huwa anapiga watu…

KUNA AINA NGAPI  ZA MAOMBI?

Yapo maombi ya namna tofauti tofauti, lakini yote  ni lazima yaangukie katika mojawapo ya makundi haya Matano (5). 1)   Kusifu na Kuabudu. Wengi hawafahamu kama sifa zetu ni maombi yanayojitegemea…

Biblia inamaana gani iliposema “Dhambi ilipozidi, Neema ilizidi kuwa nyingi Zaidi”.

Jibu: Tusome.. Warumi 5:20 “Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; NA DHAMBI ILIPOZIDI, NEEMA ILIKUWA NYINGI ZAIDI”. Ili tuweze kuelewa vizuri labda tujifunze katika mfano mmoja au…

UAMINIFU NI KIGEZO KIKUBWA CHA KUTUMIWA NA MUNGU.

Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele.AMEN. Nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Mungu, na leo tutaona vile uaminifu unavyomshawishi…