Mathayo 24:14 “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja”. Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa.. Ukitaka kujua kuwa mambo…
Kuoatama ni lugha ya zamani, inayomaanisha “kwenda haja kubwa” Kumbukumbu 23:13 “nawe uwe na jembe dogo katika silaha zako; napo uotamapo nje uchimbe kwa lile jembe, na kugeuka na kukifunika…
Katika ukristo ogopa sana ile kauli ya kusema “Huu si wakati”… “Bado kidogo”…. “Wakati wake utafika tu siku moja”… Ogopa sana kauli kama hizo, tena ziogope kuliko ukoma. Kwanini ninakuambia…
Kuna silaha ambazo nataka ufahamu shetani anazozitumia kwa watu ambao wanakaribia kuokoka, au waliookoka lakini bado ni wachanga katika imani. Silaha hizo, zimewafanya watu wengi waishi katika hofu, na misongo…
Nakusalimu katika jina kuu sana la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maandiko maadamu siku ile inakaribia. Tukitazama matukio yaliyokuwa yanaendelea pale msalabani yapo mambo kadha wa kadha tunaweza kujifunza.…
Wanefili tunawasoma kwa mara ya kwanza katika kitabu cha Mwanzo 6:4, Tusome.. Mwanzo 6:4 “Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti…
SWALI: Biblia inamaana gani kusema “vipo sita, naam saba”. Kwanini isingesema tu mara moja saba, mpaka ianze sita,halafu tena saba? JIBU: Ni lugha ya zamani, iliyotumika kuwekea msisitizo kitu hususani…
Adui yetu shetani, ni kama simba angurumaye akitafuta mtu wa kummeza (1Petro 5:8), hivyo usiku na mchana anatupigana vita ili mradi, atuangushe au atwae vile tulivyo navyo. Leo tutaingalia njia…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo litukuzwe milele. Karibu tujifunze Neno la Mungu. Kuna wakati sisi wenyewe ndio tunakuwa kikwazo cha Kristo kujifunua kwetu katika utimilifu wake wote, na hiyo…
SWALI: Nini maana ya hii mistari? Isaya 42:19 “Ni nani aliye kipofu, ila mtumishi wangu? Au aliye kiziwi, kama mjumbe wangu nimtumaye? Ni nani aliye kipofu, kama yeye aliye na…