DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MKAMCHUKUE SALAMA.

Je unajua sababu kuu ya Yuda kujinyonga?.. Jibu ni kwasababu alishuhudia jambo ambalo lilikuwa ni tofauti na mategemeo yake! Matazamio ya Yuda hayakuwa kumtoa Bwana Yesu auawe!.. Yuda lengo lake…

Upole ni nini?

Upole ni kitendo cha kutokuonyesha madhara, kwa mtu au kiumbe kingine, huwa unaambatana na utulivu . Upole unakuwa na maana Zaidi pale ambapo unaouwezo wa kuleta madhara kwa kiumbe kingine…

DORKASI AITWAYE PAA.

Matendo 9:36 “Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa. 37 Ikawa siku zile akaugua,…

KWANINI UPIGE MISHALE CHINI?

Ahimidiwe Bwana wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele.Amen Wakati fulani mfalme wa Israeli aliyeitwa Yehoashi alimfuata Elisha ili kumjulia hali kabla hajafa. Kama tunavyosoma habari…

Kitambi kilichopo kwenye Ini ndio kilikuwaje?

Jibu: Tusome, Walawi 3:3 “Naye atasongeza katika sadaka hiyo ya amani, dhabihu kwa Bwana itakayofanywa kwa njia ya moto; yaani, mafuta yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo juu ya matumbo,…

Sadaka ya Amani ilikuwaje?

Sadaka ya amani, ilikuwa ni sadaka inayotolewa kwa Mungu kutokana na amani mtu aliyoipata; Tofauti na ambavyo ingeweza kutafsirika kuwa ni sadaka ambayo mtu angeitoa kwa Mungu ili kupatana naye!…

Kigao ni nini? Na Je kinafunua nini kwa agano jipya?

Kigao ni aina ya silaha inayofanana na ngao, Inachokitofautisha kigao na ngao ni kwamba kigao ni kidogo na chepesi, rahisi kubebeka, na huwa kinafungwa mkononi, lakini ngao huwa ni kubwa…

Je ni lazima kushiriki Meza ya Bwana?

Je kama mtu hataki au hajisikii kushiriki meza ya Bwana, na akaamua maisha yake yote kutokufanya hivyo, lakini amri nyingine anashika, je ataokolewa siku ya mwisho?. Jibu: Shalom. Yapo maandiko…

Je! kuna sikukuu za pasaka mbili? (Hesabu 9:11)

​​SWALI: Kulingana na Hesabu 9:11 Je! kuna sikukuu za pasaka mbili kwa mwaka? Hesabu 9:11 "mwezi wa pili, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, wataishika; watamla…

USIWE ADUI WA BWANA

Kuna siku Fulani nikiwa nasafiri kwenye gari, nikamsikia mtu fulani kwenye redio akisema “Rafiki wa adui yako ni Adui yako”..akimaanisha kuwa “mtu yeyote ambaye atashirikiana na yule mtu anayekupinga wewe,…