Unyenyekevu ni nini, kibiblia, ili mtu awe ni mnyenyekevu anapaswa aweje? Tafsiri ya Unyenyekevu ni Kujishusha. Pale unapokuwa na uwezo wa kutumia nguvu, au sauti, au mamlaka,kuhimiza jambo, lakini unajishusha…
Dusumali ni nini?, Mafurungu ni nini?, na Matalasimu ni nini?.. kama tunavyosoma katika Isaya 3:20? Jibu: Tusome, Isaya 3:20 “na dusumali, na mafurungu, na vitambi, na vibweta vya marashi, na…
SWALI: Tunasoma yule mkushi alikuwa ni mwenye mamlaka chini ya Kandake Malkia wa Kushi.. Naomba kufahamu Neno Kandake lina maana gani? JIBU: Filipo, Mhubiri wa injili, aliagizwa na Malaika wa…
Kuna madhara makubwa sana ya KUTOIJUA KWELI YOTE!.. Unaweza kuijua kweli tu!, lakini usiijue kweli yote…Watu wengi leo hii wanaijua kweli… “lakini hawaijui kweli yote”.. Jambo ambalo linafungua mlango mkubwa…
Na pombe na sigara si ni vya Kaisari (yaani serikali imevihalalisha), hivyo si ni sawa kuvitumia..? Jibu: Kumekuwa na tafsiri nyingi juu ya huo mstari “Vya Kaisari mpeni Kaisari na…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Leo tutajifunza juu ya mgogoro wa Urusi na Ukraine, Je Mgogoro huu umetabiriwa katika biblia? Awali ya yote, kabla hatujaendelea…
Jibu: Hapana!, watu wenye ulemavu wa akili kikweli kweli, Bwana akirudi hawataenda!, watabaki kukumbana na ghadhabu ya Mungu.!. LAKINI SISI TUNAVYOMTAFSIRI MTU MWENYE ULEMAVU WA AKILI, NI TOFAUTI NA MUNGU…
Bwana Yesu asifiwe. Ulishawahi kulitafakari kwa ukaribu lile tukio, ambalo Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa sura nyingine, walipokuwa baharini wanavua?. Utaona muda wote aliokuwa anazungumza nao wasimtambue Petro alikuwa…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele. Utajiuliza, ni kwanini wengi wa mitume wa Bwana Yesu walikuwa ni wavuvi? Tukiachilia mbali…
Tatizo la visigino kuuma ni ishara ya nini kibiblia?..Au visigino kuwaka moto?. 1) Visigino kuuma. Kama unafanya shughuli yenye kuhusisha miguu, kwamfano kulima au kutembea umbali mrefu, au michezo..basi ni…