Yapo maombi ya namna tofauti tofauti, lakini yote ni lazima yaangukie katika mojawapo ya makundi haya Matano (5). 1) Kusifu na Kuabudu. Wengi hawafahamu kama sifa zetu ni maombi yanayojitegemea…
Jibu: Tusome.. Warumi 5:20 “Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; NA DHAMBI ILIPOZIDI, NEEMA ILIKUWA NYINGI ZAIDI”. Ili tuweze kuelewa vizuri labda tujifunze katika mfano mmoja au…
Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele.AMEN. Nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Mungu, na leo tutaona vile uaminifu unavyomshawishi…
Jibu: Tusome, Isaya 45:3 “nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa…
Kikawaida ulafi ni tabia ya kupenda kula kuliko pitiliza, Sio vibaya kula, na pia sio dhambi kula na kushiba.. Lakini tabia hii inapovuka mipaka kiasi kwamba kila kitu kinachokuja mbele…
SWALI: Naomba kufahamu nini maana ya huu mstari, Mithali 16:2 “Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali Bwana huzipima roho za watu”. JIBU: Kama vile Biblia inavyosema…
Biblia inasema.. 1 Wakorintho 2:10-12 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho…
Nyakati za kuburudishwa ni kile kipindi cha utawala wa miaka elfu moja. Kipindi hicho ni kipindi ambacho dunia itarejeshwa na kuwa kuwa nzuri zaidi hata ya Edeni, ni kipindi ambacho…
Kusubu ni nini? Miungu ya kusubu ni ipi?
Haya ni maswali 8 maarufu yahusuyo Zaka. 1. Ni nani anayepaswa kutoa fungu la 10?, 2. Je fungu la 10 tunatoa katika faida au mtaji? 3. Je tunapopewa zawadi tunazitolea…