DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

THE SPIRIT SPEAKS OPENLY.

Shalom.. Blessed be the name of our Lord Jesus Christ. God's Word says in... 1 Timothy 4:1 "Now the Spirit speaketh expressly, that in the latter times some shall depart…

NOT BY MIGHT, NOR BY POWER, BUT BY MY SPIRIT.

Zechariah 4: 6 "Then he answered and spake unto me, saying, This is the word of the LORD unto Zerubbabel, saying, Not by might, nor by power, but by my…

Wakati wakina Shadraka wanatupwa katika tanuru la moto, Danieli alikuwa wapi?

Wakati wakina Shadraka wanatupwa katika tanuru la moto, Danieli alikuwa wapi?

Kwa namna gani mauti hufanya kazi ndani yetu na uzima kwa wengine? (2Wakorintho 4:12).

Tusome, 2 Wakorintho 4:12 “Basi hapo mauti hufanya kazi ndani yetu, bali uzima ndani yenu”. Ili tuelewe vizuri, tuchukue mfano wa kondoo anayepelekwa machinjoni, yeye ndani yake ipo MAUTI kwasababu…

RUN AWAY FROM SIN AT ANY COST.

Shalom. Welcome to study the Bible, and remind yourself of what we have already learned. The only thing that God's people should fear most of our time now is sin……

WHAT DOES IT MEAN TO BE A CHRISTIAN?

Blessed be the name of the Lord Jesus Christ. Do you know why the Lord Jesus commanded His Apostles and all of us to go into all the world and…

FANYA BIDII ZOTE ULE MATUNDA YA UZIMA.

Mwanzo 2:9 BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na…

ALTHOUGH THEY ARE IGNORANCE, THEY WILL NOT BE LOST IN THAT WAY

Shalom. Blessed be the name of our Lord Jesus Christ. We are about to meditate on the beautiful words of life. Have you ever carefully considered this verse? Isaiah 35:…

TATIZO LA NDANI LINALOWASUMBUA VIJANA, WALIOOKOKA.

Kuna tatizo sugu ambalo linalowasumbua watu wengi , hususani vijana pindi wanapookoka, Na pengine linakusumbua hata na wewe. Vijana kadha wa kadha waliookoka, wamekuwa wakinipigia  simu, wengine wakinitumia meseji wakisema…

ISHARA ITAKAYONENEWA

Ni kwanini Bwana Yesu amefanyika kuwa ishara itakayonenewa?..Nini maana ya kunenewa?. Luka 2:34 “Simeoni akawabariki, akamwambia Mariamu mama yake, Tazama, huyu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka wengi walio katika Israeli,…