DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

BWANA AKAMWAMBIA SHETANI, BWANA NA AKUKEMEE EWE SHETANI;

Shalom jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Tunaweza kujiuliza maswali mengine ni kwanini mara nyingi malaika walipokuwa wakishindana na shetani, hawakutumia uweza wao wote kupambana naye,bali…

Usimwache mwanamke mchawi kuishi! Biblia ilimaanisha nini?

SWALI: Nina swali juu ya uchawi, Biblia iliposema kuwa usimwache mwanamke mchawi kuishi ilimaanisha nini? JIBU: Katika agano la kale Mungu aliwapa wana wa Israeli hukumu...akawaambia wazishike hizo..na hukumu hizo…

HAKI HAIMWACHI KUISHI.

...Japokuwa ameokoka katika bahari,haki haimwachi kuishi... Ikiwa wewe ni mtoto wa Mungu, unapaswa ujue kuwa kuna wakati sio mambo yote yataenda vizuri kama unavyofikiri, Hilo ni vizuri ukaliewa kwasababu watu…

Kwanini Mungu anasema “Afanyaye malaika zake kuwa pepo”?

SWALI: Waebrania 1:7 “Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto”..Je Mungu anawageuza malaika zake kuwa mapepo? JIBU: Ndio! Wale…

Mstari huu una maana gani? “Mathayo 23:39 Hamtaniona kamwe tangu sasa”

SWALI: Mathayo 23:39 “Kwa maana nawaambia, Hamtaniona kamwe tangu sasa, hata mtakaposema, AMEBARIKIWA AJAYE KWA JINA LA BWANA.” JIBU: Ukisoma kuanzia juu utaona habari hiyo alikuwa anaizungumza Bwana Yesu alipokuwa…

ZIKIMBIE TAMAA ZA UJANANI! NA MTU YEYOTE ASIUDHARAU UJANA WAKO.

Ujana ni wa thamani..hususani unapotumika vyema…Na kila mahali panaitaji vijana kwaajili ya nguvu kazi, nchi inahitaji vijana kwaajili ya nguvu kazi, shetani naye anawahitaji vijana zaidi kuliko wazee kwa ajili…

MADHARA YA KUTOA MIMBA.

Madhara ya kutoa mimba rohoni. Licha ya kwamba yapo madhara mengi ya mwilini mtu atakayoyapata kwa kutoa mimba, hata wakati mwingine kukumbwa na mauti au kuharibika kwa kizazi kabisa, lakini…

Isaya 43, USIOGOPE!

Isaya 43:1 “Lakini sasa, Bwana aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. 2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa…

PETRO AKAMWAMBIA YESU “BWANA NA HUYU JE”?

Tunajifunza kisa, ambacho kinamuhusu Petro, wakati wakiwa kule baharini yeye na wenzake, walipotokewa na Bwana,.. Swali la kwanza ambalo Petro aliulizwa na Bwana mara tatu ni Je! unanipenda?, Naye akajibu…

UMEFUMBULIWA MACHO YAKO YA KIROHO?

Biblia inapozungumzia mioyo..haimaanishi hii mioyo iliyomo ndani ya vifua vyetu inayosukuma damu…hapana bali inazungumzia utu wa ndani ambao ni roho zetu. Biblia inasema katika… Waefeso 1:18 “macho ya mioyo yenu…