DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

SHUGHULIKA SANA NA DHAMBI YA KUSAHAU.

Nakusalimu katika jina kuu sana na lenye nguvu la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mungu wetu. Sisi kama Wanadamu Kila mmoja wetu haijalishi ameokoka au…

Fanya bidii kuijua hali ya makundi yako (Mithali 27:23)

Haya ni Mafundisho maalumu Kwa ajili ya watumishi, ikiwa wewe ni kiongozi, askofu, mwalimu, mchungaji, mtume, mwinjilisti, unayesimama mahali fulani katika kulitazama kundi la Bwana, au jamii ya watu waliookoka,…

Tatizo la maumivu ya mgongo kibiblia.

Je mgongo kuuma kunasababishwa na nini? Kama maumivu ya mgongo si kutokana na umri, au ugonjwa uliopo ndani ya mwili wako sasa, au si kutokana na ajali uliyoipata au hali…

Tatizo la Bawasiri kibiblia

Tatizo la Bawasiri kibiblia Je biblia imeutaja ugonjwa wa Bawasiri mahali popote?, Ni nini chanzo cha Bawasiri na nini tiba ya Bawasiri?. Jibu ni ndio! Ugonjwa wa bawasiri umetajwa katika…

Guruguru na Goromoe ni wanyama gani? (Walawi 11:30)

Jibu: Turejee. Walawi 11:29 “Tena katika vitu vile vitambaavyo, vitambaavyo juu ya nchi, hivi ni najisi kwenu; kicheche, na panya, na mjombakaka, kwa aina zake,  30 na GURUGURU na kenge,…

TEMBEA NDANI YA SUKOTHI YAKO.-Maafundisho maalumu kwa watumishi

Mafundisho maalumu Kwa ajili ya watumishi wa Mungu. Huu ni mwendelezo wa mafundisho maalumu Kwa ajili watumishi wa Mungu, ikiwa wewe ni Mchungaji, mwalimu, mtume, askofu,Nabii, au mtu yoyote unayemtumikia…

Tatizo la kuvimba miguu kibiblia

Biblia inasema nini kuhusiana na kuvimba miguu na miguu kuuma? Kama miguu imevimba na hujui chanzo, wala madaktari hawaoni tatizo…basi huenda ni Mungu anataka kusema na wewe jambo, ambalo ukilirekebisha…

Vihekalu vya fedha vya Artemi vilikuwaje? (Matendo 19:24).

Jibu: Turejee Matendo 19:24 “Kwa maana mtu mmoja, jina lake Demetrio, mfua fedha, aliyekuwa akifanya vihekalu vya fedha vya Artemi, alikuwa akiwapatia mafundi faida nyingi”. Mahekalu yalikuwa ni majengo maalumu…

TAA YA MWILI NI JICHO,

Karibu tujifunze biblia, Mathayo 6:22  “Taa ya mwili ni jicho; basi jicho lako likiwa safi, mwili wako wote utakuwa na nuru. 23  Lakini jicho lako likiwa bovu, mwili wako wote…

Wivu ni nini na kuna aina ngapi za Wivu?

Wivu ni nini kibiblia na kuna aina ngapi za Wivu unaowapata watu? Na je ni dhambi kuwa na Wivu? Katika kitabu cha Wagalatia biblia imetaja “Wivu” kuwa ni mojawapo ya…