DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kwanini Bwana Yesu alivikwa taji ya miiba?

Taji ya miiba juu ya kichwa cha Bwana Yesu, iliashiria nini kiroho?.. Tusome, Mathayo 27:27 “Ndipo askari wa liwali wakamchukua Yesu ndani ya Praitorio, wakamkusanyikia kikosi kizima. 28 WAKAMVUA NGUO,…

UNAVYOZIDI KUWA MWENYE HAKI, NDIVYO KUJITAMBUA KWAKO KUNAVYOPUNGUA.

Tofauti na tunavyoweza kudhani, kwamba pale unapoongezeka viwango vya kiroho, Au pale unapopiga hatua moja kwenda nyingine kwa Mungu  basi utajitambua, au utapata hisia Fulani ya kitofauti kwamba amehama ulimwengu…

Kwanini Bwana Yesu alisema “Msimwamkie mtu njiani”?

Bwana Yesu alimaanisha nini kusema, msimwamkie mtu njiani? (Luka 10:4).. Na wakati huo huo alisema katika Mathayo 5:47, kuwa “tukiwaamkia ndugu zetu tu!, tunatenda tendo gani la ziada”. Jibu: Labda…

Tofauti ya deni na dhambi ni nini?

Katika Marko 6:12 maandiko yanasema…“Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu”… Hizi deni ndio zipi?? Jibu: Mtu aliyekutukana ana deni kwako la kuja kukuomba radhi!..Hilo ni deni lake…

Rushwa inapofushaje macho?

Biblia inasema rushwa inawapofusha macho hao waonao? (Kutoka 23:8) Ni kwa namna gani rushwa inaweza kumpofusha mtu macho? Jibu: Tusome, Kutoka 23:8 “Nawe usipokee rushwa; kwani hiyo rushwa huwapofusha macho…

Unyenyekevu ni nini?

Unyenyekevu ni nini, kibiblia, ili mtu awe ni mnyenyekevu anapaswa aweje? Tafsiri ya Unyenyekevu ni Kujishusha. Pale unapokuwa na uwezo wa kutumia   nguvu, au sauti, au mamlaka,kuhimiza jambo, lakini unajishusha…

Dusumali ni nini katika biblia?

Dusumali ni nini?, Mafurungu ni nini?, na Matalasimu ni nini?.. kama tunavyosoma katika Isaya 3:20? Jibu: Tusome, Isaya 3:20 “na dusumali, na mafurungu, na vitambi, na vibweta vya marashi, na…

Nini maana ya “Kandake” (Matendo 8:27)

SWALI: Tunasoma yule mkushi alikuwa ni mwenye mamlaka chini ya Kandake Malkia wa Kushi.. Naomba kufahamu Neno Kandake lina maana gani? JIBU: Filipo, Mhubiri wa injili, aliagizwa na Malaika wa…

MADHARA YA KUTOIJUA KWELI YOTE!

Kuna madhara makubwa sana ya KUTOIJUA KWELI YOTE!.. Unaweza kuijua kweli tu!, lakini usiijue kweli yote…Watu wengi leo hii wanaijua kweli… “lakini hawaijui kweli yote”.. Jambo ambalo linafungua mlango mkubwa…

“Vya Kaisari mpeni kaisari”  ni vipi hivyo tunavyopaswa tumpe?.

Na pombe na sigara si ni vya Kaisari (yaani serikali imevihalalisha), hivyo si ni sawa kuvitumia..? Jibu: Kumekuwa na tafsiri nyingi juu ya huo mstari “Vya Kaisari mpeni Kaisari na…