DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Bilauri ni nini kibiblia?(Ufunuo 21:11,22:1)

Bilauri ni glasi, Na kama tunavyojua glasi huwa zina mwonekano mzuri wa kung’ara na  wakuvutia, usiositiri uchafu, zimetengenezwa kwa madini yanayoitwa Crystal, tazama picha juu, Katika biblia sehemu nyingi Neno…

BENEFITS OF PRAYER

Prayer is divided into three main parts: 1) Prayer of Thanksgiving 2) Petition Prayer. 3) Prayer of Declaration. 1.) PRAYER OF THANKSGIVING. Many believers are well-acquainted with this part of…

Zabarajadi ni nini katika biblia (Ufunuo 21:20)?

Zabarajadi ni nini? Ni moja ya mawe ya thamani, ambayo yanaonekana yakitajwa sehemu nyingi katika biblia, mawe haya yapo katika rangi mbalimbali, mengine yana rangi kama ya kijani, mengine njano,…

Rangi ya kaharabu ni ipi kibiblia(Ezekieli 1:4,27,8:2)?

Rangi ya kaharabani ni ipi? Rangi ya kaharabu ni rangi iliyo katikati ya Njano na machungwa, kwa lugha rahisi ya kueleweka wengi wanaiita Njano, japo si njano kabisa. Tazama picha.…

Rangi ya samawi ni ipi kibiblia(Kutoka 36:37)?

Rangi ya samawi ni ipi? Rangi ya samawi ndio rangi ya bluu, Kama unavyoona katika picha, katika biblia rangi hii ilitumika kwa matumizi mbalimbali husasani yale ya madhabahuni pa Mungu…

Is it sin to read the Bible on the phone or tablet?

QUESTION: Is it sin to read the Bible on the phone or tablet at church? or to use it for preaching at the altar?. ANSWER: To find the right answer…

Je! Kusoma biblia kwenye simu ukiwa kanisani ni dhambi?

SWALI: Je! Kusoma biblia kwenye simu ukiwa kanisani, au sehemu yoyote ile ni dhambi? au kutumia Tablet madhabahuni, pia hilo nalo ni dhambi? JIBU: Ili tupate jibu sahihi la swali…

JE! NINYI NANYI MWATAKA KUONDOKA?

Shalom, Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Kama wewe umeokoka, na kwa kitambo sasa upo katika wokovu, nataka nikuambie katika wakati unapaswa uwe nao makini sana basi…

HE WAS MADE AN ATONING SACRIFICE FOR OUR SAKE.

Shalom. Responding with consideration to those with an outstretched hand: feeding the hungry;or giving attire to the poor;reaching for the rejected among other acts of compassion is like bearing their…

WOSIA WA BWANA YESU KWA WANAFUNZI WAKE.

Hakuna asiyejua kuwa Mzazi mwenye hekima anapokaribia kumaliza siku zake, huwa anawaita wanawe kuwapa wosia mfupi wa maisha pamoja na kuwabariki. Na Mzazi mwenye upendo ni yule anayewaambia wanawe au…