QUESTION: I need to know what is the difference between flesh and spirit uncleanness?? As we read in 2 Corinthians 7:1 2 Corinthians 7:1 "Having therefore these promises, dearly beloved,…
SWALI: Nini maana “nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani;”..Je! Ni kwa namna gani tunapaswa tulibariki taifa la Israeli. Je! Ili tubarikiwe tunapaswa, tufunge na kuliombea Taifa la Israeli usiku na mchana,…
Wakati Mungu anawatoa Israeli kutoka Misri, Mungu hakuwapa bendera kuwa kama Ishara ya Taifa hilo, Hivyo bendera kwa Israeli ni kitu kilichokuja kuzalika miaka mingi baada ya Kristo kuja duniani…
Mithali 15:27 Atamaniye faida huifadhaisha nyumba yake mwenyewe; Bali achukiaye zawadi ataishi.
Tusome, 2Wakorintho 1:15 “Nami nikiwa na tumaini hilo nalitaka kufika kwenu hapo kwanza, ili mpate karama ya pili” Sio wakati wote neno “karama” linapotumika kwenye biblia linamaanisha “karama ya roho…
Nyakati zote kabla na hata baada ya Kristo miaka inahesabiwa kwa kwenda mbele, hakuna wakati wowote au kipindi chochote miaka ilihesabiwa kwa kurudi nyuma. Litakuwa ni jambo lisilo la kiakili…
Mithali 25: 20 “Amwimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito, Ni kama yeye avuaye nguo wakati wa baridi; Ni kama siki juu ya magadi”. Anaposema amwimbiaye nyimbo..anamaanisha nyimbo za furaha, au…
Lengo la Mungu kuwapa watu amri ya kuitunza sabato lilikuwa ni tofauti na lilivyochukuliwa au kutafsiriwa.Tuchukue mfano wa kawaida wa kimaisha... Kikawaida, kila mtu ni lazima katika siku moja anao…
Ratili ni kipimo cha uzito kilichotumika enzi za kale..chenye uzito sawa na Gramu 500 hivi. Karibia na nusu kilo. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi kwenye biblia.. Yohana 19:39 Akaenda…
“Mtima” ni neno linalowakilisha aidha “nafsi ya mtu” au “roho ya mtu” Hivyo mtu anayeugua rohoni, ni sawa na kusema “anaugua katika mtima wake”.. kadhalika mtu aliyeumizwa nafsini mwake ni…