DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

YATAMBUE MAJIRA YA KUJILIWA KWAKO.

Hivi unajua kuwa Wayahudi walikuwa wanamtazamia Kristo?.. Kila siku walikuwa wanamwomba Mungu wa mbingu na nchi… amtume Kristo wake duniani, aje awakomboe kutoka katika utumwa wa kirumi na wa dhambi.…

KWANINI UKATE TAMAA?

Kwanini ukate tamaa ya  kumtafuta Mungu? Nataka nikuambie hata Mungu mwenyewe akikuambia sikutaki haunifai, bado hupaswi kukata tamaa... Kuna mbegu Fulani ya uharibifu ambayo shetani ameipanda ndani ya mioyo ya…

JIFUNZE KUJITOA KWA MUNGU NA KUWA MKARIBISHAJI.

Shalom, mtu wa Mungu.. karibu tujifunze biblia Neno la Mungu, ambalo ni mwanga wa njia yetu na taa iongozayo miguu yetu. Leo tujikumbushe umuhimu wa kuwa wakaribishaji, na wa kujitoa…

Neno la Mungu ni upanga.

Ni kwa namna gani Neno la Mungu ni upanga? Biblia haisemi Neno la Mungu ni upanga tu, hapana bali inasema  ni zaidi ya upanga wowote mkali ukatao kuwili.. Waebrania 4:12…

Neno la Mungu la leo.

Neno la Mungu la leo ni lipi? Kwanza nakupongeza kwa kupenda kutafuta kujua Neno la Mungu la leo.. Bwana Yesu alisema kila atafutaye huona (Mathayo 7:8), Hivyo kwa kuwa na…

NENO LA MUNGU NI NINI?.

Neno la Mungu ni nini? Neno la Mungu ni ujumbe kutoka kwa Mungu, au mkusanyiko wa jumbe kutoka kwake. Ukisoma katika maandiko utaona mara nyingi manabii walikuwa wanasema maneno haya…

UFUFUO TUNAOUSUBIRIA UTAHITIMISHA YOTE.

Siku ile Bwana Yesu alipokufa biblia inatuambia makaburi yalipasuka na miili ya watakatifu wengi iliinuka, lakini katika ufufuo huo hawakuondoka pale makaburini mpaka siku Yesu alipofufuka, Ndipo wakaanza safari ya…

YESU AKALIA KWA SAUTI KUU.

Yesu akalia kwa sauti kuu.. Wengi tunajiuliza ni maneno gani aliyatoa Bwana Yesu pale msalabani alipolia kwa sauti ya juu namna hiyo? Embu tusome vifungu vyenyewe; Marko 15:34 “Na saa…

Kuzimu kuna nini?

Kuzimu kuna nini? Kuzimu sio mahali pa kupatamani hata kidogo, wala sio mahali ambapo utatamani hata adui yako aingie.. Na ndio maana Bwana Yesu alisema maneno haya.. Marko 9:43  “Na…

Kuota upo na mtu maarufu/kuota unaongea na mtu maarufu.

Kuota upo mtu na maarufu/kuota unaongea na mtu maarufu kuna maana gani? Ndoto zipo katika makundi makuu matatu, zipo ndoto zinazotokana na Mungu, pia zipo ndoto zinazotokana na shetani, halikadhalika…