DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

IMESALIA RAHA YA SABATO KWA WATU WA MUNGU.

Bwana YESU asifiwe sana, karibu tujifunze Neno la Mungu. Awali ya yote ni vizuri tukaweka msingi kwanza wa kufahamu nini maana ya Sabato. Sabato maana yake ni pumziko/kuacha kufanya kazi/…

TAFAKARI SANA KABLA YA KUAMUA HATIMA YAKO.

Tafakari sana kabla hujafikia hitimisho Fulani ambalo ndio litakuwa la kudumu katika maisha yako. Kuna watu wengi sana ambao shetani kawafumba macho, na kuwafanya wasifikiri vyema kabla ya kufikia hitimisho…

UTAKASO NI SEHEMU YA MAISHA YA MKRISTO YA KILA SIKU.

Jina kuu la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa pumzi yake kuiona, leo tutajifunza somo linalohusiana na utakaso kwa mtakatifu. Lakini kabla hatujafika kwenye utakaso, ni…

Nini maana ya ‘Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu’ ?

SWALI: Naomba kufahamu maana ya mstari huu ; Mithali 16:1 “Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana”. JIBU: Mstari huu unatukumbusha kuwa si kila…

Nini maana ya “yasiyokuwapo hayahesabiki”(Mh 1:15)

JIBU: Tusome mstari wenyewe. Mhubiri 1:15 “Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki”. Hapo utaona vipengele viwili, cha kwanza ni: Yaliyopotoka hayawzi kunyoshwa. Na cha pili ni yasiyokuwapo hayahesabiki. Tukianzana na…

Nini maana ya ‘kuhuluku’ kama tunavyosoma katika biblia?

Kuhuluku ni Neno lingine linalomaanisha KUUMBA. Kwamfano tukisema Mungu kahuluku jua na mwezi, tunamaanisha kuwa Mungu ameumba jua na mwezi. Vifuatavyo ni baadhi ya vifungu ambavyo vinalielezea Neno hilo; Isaya…

Kiango na Pishi ni nini (Mathayo 5:15)?

Kiango ni kifaa maalumu cha kushikilia au kuning’inzia taa, tazama picha, kwa jina lingine kinaitwa kinara. Na nilazima kinyanyuke au kiwe sehemu ya juu kidogo, ili kuruhusu mwanga wa hicho…

NAYE AKASIMAMA JUU YA MCHANGA WA BAHARI.

Shalom, jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe milele. Karibu tujifunze Neno lake. Ukisoma kitabu cha Ufunuo sura ya 12, utaona habari kuu inayouzungumziwa pale ni kuhusu mapambano ambayo…

JINSI  DHAMBI ILIVYO NA SHINIKIZO KUBWA SANA.

Wakati mwingine kuna mambo unasoma kwenye biblia unaishia kuogopa sana, hususani pale unapoona mtu Mungu anafanya mambo ambayo hata mwenye dhambi si rahisi ayafanye. Kwamfano embu tuwaangalie hawa watu wawili,…

ROHO ANENA WAZIWAZI

Shalom..Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Neno la Mungu linasema katika... 1 Timotheo 4:1 “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho…