DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nini maana ya huu mstari “sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje”

Swali: Bwana Yesu alikuwa na maana gani kusema.. “sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje”? Ni kwa namna gani atatupwa nje? Na ni kwanini atupwe nje na sio chini? JIBU:…

MAPAMBANO DHIDI YA SHETANI.

 Mapambano dhidi ya shetani. Katika vita siku zote wanaopambana ni wanajeshi dhidi ya wanajeshi..na si raia dhidi ya wanajeshi…Na ndio maana vita huwa vinakuwa ni vigumu sana na vikali…hiyo yote…

YA KALE YAMEPITA, TAZAMA YAMEKUWA MAPYA

2Wakorintho 5.17 "Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya". Kuwa kiumbe mpya sio kuwa "mtu mpya"...Mtu ni yule yule isipokuwa tabia…

CHEMBE YA NGANO ISIPOANGUKA KATIKA NCHI, IKAFA,

Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi”. Shalom, Jina kuu la mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno…

USIWE NA HOFU, USHUKAPO CHINI.

Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Mungu anapotaka kumtoa mtoto wake sehemu moja kwenda nyingine anakuwa kama anamrudisha kwanza nyuma ili ampandishe juu katika hatua nyingine…Vitu vya asili…

WEWE U MWALIMU WA ISRAELI,NA MAMBO HAYA HUYAFAHAMU?

Maneno haya aliambiwa Nikodemo, mwalimu wa torati, Farisayo aliyemfuata Bwana Yesu kwa siri usiku na kumweleza mambo ambayo mafarisayo mwenzake wanayajua juu yake..alikiri na kusema kuwa sisi mafarisayo tunajua kabisa…

NINI TUNAJIFUNZA KWA MWANA MPOTEVU NA NDUGUYE?

Wengi wetu, tunapoisoma habari ya mwana mpotevu, macho yetu yote yanamwelekea yule mwana wa mwisho..kwasababu sehemu kubwa ya mfano ule ulikuwa unamzungumzia yeye. Lakini pia ipo siri nyingine imejifichwa kwa…

USINIPITE MWOKOZI

Usinipite Mwokozi wangu.. Mwanzo 18:1 "Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari. 2 Akainua macho yake akaona, na tazama,…

Yeremia 33:3 (NIITE NAMI NITAKUITIKIA)

Katika kitabu cha Yeremia 33:3 biblia inasema maneno haya....."Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua". Maneno haya ni Mungu aliyazungumza kwa kinywa cha Yeremia, alipokuwa katika gereza alilokuwa…

NI NANI ALIYEWALOGA?

Ni nani aliyewaloga?..Je! nini maana ya kulogwa? na je! wewe nawe umelogwa? Unaweza kujiuliza swali je! watu wa Mungu wanalogwa?..Jibu ni Ndio! Biblia inasema hivyo wanalogwa..Sasa ni kwa namna gani…