JIBU: Tafsiri ya kibiblia ya MTU MTAKATIFU ni tofauti na tafsiri ya kiulimwengu. Ulimwengu unatafsiri Mtu mtakatifu ni mtu yeyote anayetenda matendo mema! mtu asiyetenda dhambi!..mtu anayekubalika na asiye…
Kama ukichunguza kwa makini, utaona Mungu kaumba kila kitu katika sehemu kuu mbili…Kwamfano utaona mtu katengenezwa kwa vipande viwili, kushoto na kulia, na vipande hivyo vinafanana..kila kimoja ni taswira ya…
Biblia ina maanisha nini iliposema "Asiyefanya kazi na asile"? Maandiko hayo yanapatikana kutoka katika kitabu cha 2 Wathesalonike 3:10 "Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba…
Wengi wa wanaompa Yesu Kristo maisha yao kwa mara ya kwanza, ndio maswali ya kwanza kwanza kujiuliza...nitaombaje! namna gani ya kuomba ili Mungu anisikie! Kiuhalisia hakuna fomula fulani maalumu ya…
Maana ya kanisa ni "walioitwa" kwahiyo watu walioitwa watoke sehemu fulani wanaitwa kanisa.....Hivyo tafsiri ya kanisa sio jengo kama inavyodhaniwa na wengi... Kwahiyo katika maandiko kanisa la kwanza lilianza siku…
Yesu ni nani? Hili ni swali ambalo sio tu linawachanganya watu wengi wa leo, lakini pia limekuwa ni swali lililowasumbua watu wengi tangu enzi na enzi vizazi na vizazi huko…
Ufunuo 14:13 "Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao".…
Chanzo cha Baraka zote ni Mungu..Na Mungu anaweza kumbariki mtu moja kwa moja kupitia yeye mwenyewe...na anaweza pia kumbariki mtu kupitia mtu mwingine. Kwamfano kwenye Biblia Mungu alimbariki Ibrahimu moja…
JIBU: Ili tusichanganyikiwe jambo la muhimu tulinalopaswa kujua ni kuwa Katika biblia Neno “mbinguni” limetumika kuwakilisha sehemu tofauti tofauti tatu. Sehemu ya kwanza ni anga hili ambalo lipo juu yetu:…
Biblia imeweka wazi kuwa Mariamu, mama yake Yesu alikuwa na watoto wengine.. Mathayo 13:53 "Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake. 54 Na alipofika nchi yake, akawafundisha katika sinagogi…